Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Mussa Salum asema Sheikh Mohamed Idd ni mshamba anayesumbuliwa na njaa, adai ana laana

Shehe wa mkoa wa Dsm alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini...
Elimu Dunia ni nzuri ukiwa nayo, iende sambamba na Elimu ya Dini. Sasa nadhani tatizo ni Uelewa wa Mambo.
 
Shehe wa mkoa wa Dsm alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini...
Yohana mngewaita wanachama wenu muwasuluhishe, hapo ukimsikiliza vyema Al had anasimama na chama, ndio anamkumbusha mwenzie aliepewa kipindi katika stesheni ya Chama
 
Ccm ikasuluhishe ndio chanzo cha yote hayo wameshindwa Kampeni Lissu anawapeleka peleka wanaamua kuingiza dini wakidhani itawasaidia.
 
Back
Top Bottom