imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
La hasha huyu Shehe na wenzake wa BAKWATA hawatuongelei sisi Waisilamu hawa ni Mashehe wa kuwaogesha dawa na kuwafunga Hirizi za vigogo wa CCM.Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.