fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Nilijua angejibu hoja za huyo shehe Muhamad zaidi sana naona personal attacks tu. Kweli Bakwata haitoshiShehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.
Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini.
Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.
CCM kumekucha kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!