Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi bakwata naona bora wapewe wakatoliki kwa kweli. Ufanisi utakua wa hali ya juu.Mashia sio waislamu, mashia ni makafir
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah! Akasema,
Nileteeni Rashid.
Niileeteeeeeni Raashiidi!!
Niileeeeeteeeeeeeni Raashiidi!!!
Niiileeeeeeeteeeeeeeniii Raashiiidiiii!!!!
Everyday is Saturday............................... 😎
Viongozi wetu pamoja na mashabiki wao hawataki haki kwa sababu hawatendi haki. Nawauliza: "Amani itapatikanaje bila haki?"Waache wararuane kwanza ukifuatilia maneno yao utachoka mkuu
Eti hao niviongozi wanaohamasisha amani ingawaje siwasikii wakitamkatamka msamiati haki
Huyu alhad Salum ndio mwenyekiti wa kamati ya Amani..... Nimeshangaa sana!
Mzee Pinda!Hiyo kamati iliundwa na nani?
Inna lillahi wainna ilayhi rajiun....Eti mkoa wangu wa dar es salaam...kakupa nani? Embu funga bakuli lako
Vyote!Hiyo kamati ya Amani ni ya chama, dini au serikali?
Nimekuelewa mkuu!
Nakumbuka alimkana Makonda baada ya kupoteza ukuu wa mkoa!Nakuheshimu lakini kwa hili naona mwenzangu sijui umechelewa wapi kumfahamu huyu Kanjanja wa dini. Alhad Musa Salum ni mjasiriadini. Ni mtu aliye tayari kutumiwa na yeyote ilimradi anamfadhili. Enzi za Makonda Dar alikuwa kama mke mdogo, Leo haongei lolote kuhusu Makonda kwa sababu tu Makonda hawezi kumwinua kama zamani.
😃😃😃,Huyu shehe huyu....Alhad Salum ndio yule sheikh aliyempiga "fatwa" Mange Kimambi?
Kimambi akiwa kwenye peek alijichanganya akaongea upuuzi kuhusu huyu shehe, kilichofuata shehe alisema baada ya muda mfupi kimambi atakaa kimya, na baada ya hapo kimambi kimyaaaa, alifyatishwa mkia na huyu mtu wa Mungu, sembuse huyu shehe feki..Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.
Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini.
Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.
CCM kumekucha kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Hahaha masheik huwa wana mikwara sana, msikie anaongea kama ana kidonda kwenye ulimi au mtoto anayejifunza kuongea.
Huyu sheikh wa mkoa nani alimpa mkoa huu?!
Usheikh wa mkoa uko kwenye usilam tu?!
Mbona sijasikia mchungaji wa mkoa?!
Yah, umewaza vizuri sana. Kuna wendawazimu wengi wanaofanywa kuwa hivyo kwa manufaa ya matumbo yao na siyo kwa manufaa ya taasisi walizopewa kuongoza. Tuwahukumu wao na siyo taasisi nzima wanazoongozaAcha kuhusisha ujinga wa watu binafsi na taasisi kwa sababu issue hapo sio dini bali mtu akishakuwa Msukule wa Lumumba tu, haijalishi yupo kwenye imani ipi lakini kitakachofuata kwake ni kuenenda mithili ya hayawani!
Au umesahau Askofu Gwajima alipomshambulia Askofu Pengo kwa maneno makali mara mia ya hayo?! Hapo napo utasemaje?! Ina maana hapo napo hudhani kama ni kweli Ukristo ni dini ya upendo wakati ni wazi Gwajima aliongozwa na uendawazimu na wala sio kwa ajili ya Ukristo wake!
Yaani uendawazimu binafsi wa watu unataka kuunasibisha na dini mzima?! Hapo Sheikh Alhadi ukimsikiliza, anaonekana wazi yupo too personal na ndio maana kajaza umimi kwenye maelezo yake!