Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Mussa Salum asema Sheikh Mohamed Idd ni mshamba anayesumbuliwa na njaa, adai ana laana

Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Mussa Salum asema Sheikh Mohamed Idd ni mshamba anayesumbuliwa na njaa, adai ana laana

Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.
Acha kuhusisha ujinga wa watu binafsi na taasisi kwa sababu issue hapo sio dini bali mtu akishakuwa Msukule wa Lumumba tu, haijalishi yupo kwenye imani ipi lakini kitakachofuata kwake ni kuenenda mithili ya hayawani!

Au umesahau Askofu Gwajima alipomshambulia Askofu Pengo kwa maneno makali mara mia ya hayo?! Hapo napo utasemaje?! Ina maana hapo napo hudhani kama ni kweli Ukristo ni dini ya upendo wakati ni wazi Gwajima aliongozwa na uendawazimu na wala sio kwa ajili ya Ukristo wake!

Yaani uendawazimu binafsi wa watu unataka kuunasibisha na dini mzima?! Hapo Sheikh Alhadi ukimsikiliza, anaonekana wazi yupo too personal na ndio maana kajaza umimi kwenye maelezo yake!
 
Mimi kama muislam nawapongeza sana wakatolik. Ili uwe kiongozi kule unatakiwa umesoma kweli kweli. Unakua kwanza na heshima katika jamii. Hata wakiwa wanafanya vitendo vya ajabu kule kulawiti vitoto vidogo issues kama hizo zinakua dealt with professionally.

KMMK njoo sasa kwa hawa maustadh uchwara waliosoma Madrassa pekee uelewa mdogo. They have never gone places. Hatuoni wakitoa mawaidha kwa waislam tukaelimika. Wamekalia matumbo yao tu.

Migogoro ikitokea utaona their true colours. Vijembe. Taarab. Kujifanya kujua. Useless dimwits,
Hao viongozi wote wawili wamesoma, ndio, wamesoma kweli kweli. Sheikh Muhamad Eid kwa mfano, ana darsa mbali mbali anafundisha na kutoa mawaidha.
Going places? Doest that refer to travelling abroad? Cause if it does, Sheikh alhad earned his bachelor's abdroad, while Eid is such a very frequent traveler.
Huwenda wana kutokuelewana kwao binafsi ndio haya yanapotokea
 
Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.

Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini.

Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.

CCM kumekucha kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!

MWENYEZI MUNGU ANAKUONA
 
Mimi kama muislam nawapongeza sana wakatolik. Ili uwe kiongozi kule unatakiwa umesoma kweli kweli. Unakua kwanza na heshima katika jamii. Hata wakiwa wanafanya vitendo vya ajabu kule kulawiti vitoto vidogo issues kama hizo zinakua dealt with professionally.

KMMK njoo sasa kwa hawa maustadh uchwara waliosoma Madrassa pekee uelewa mdogo. They have never gone places. Hatuoni wakitoa mawaidha kwa waislam tukaelimika. Wamekalia matumbo yao tu.

Migogoro ikitokea utaona their true colours. Vijembe. Taarab. Kujifanya kujua. Useless dimwits,
"Hata wakiwa wanafanya vitendo vya ajabu kule kulawiti vitoto vidogo issues kama hizo zinakua dealt with professionally..."

Mtu akipatikana na hatia ya vitendo hivyo ni mhalifu na anastahili kifungo tu. Sasa wewe sijui una maana gani unapoandika kushughulikia professionally.
 
Back
Top Bottom