fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Kivipi?Siyo kweli!
Ilianzishwa na Nyerere, Nyerere alikuwa chama au din gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi?Siyo kweli!
Mimi kama muislam nawapongeza sana wakatolik. Ili uwe kiongozi kule unatakiwa umesoma kweli kweli. Unakua kwanza na heshima katika jamii. Hata wakiwa wanafanya vitendo vya ajabu kule kulawiti vitoto vidogo issues kama hizo zinakua dealt with professionally.Shehe wa mkoa wa Dsm alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini...
PohambaKumbe Pohamba ndio Sheikh Ubwabwa Alhad?
Nimeshangaa sana bwashee!Alhad Musa iyo mipasho kama Khadija Kopa MaashaAllah
Mashekhe wenye kutetea HAKI ndio wako jukwaani hao wengine ni masheikh kitoweo
Njaa tena Kali sanaYeye Sheikh Alhad sio njaa ndio zinampeleka wenye kampeni za CCM?
Anatakiwa akapimwe mkojo kwa mkemia.
Ana njaa Kali sana huyu sheeMPUUZI huyu!
Sheikh Lwami huyo ulamaaHuyo siyo mshamba?
Duh.....!Yeye hana njaa yeye ana njaa tena Kali sana mpakaimetafuna ubongo wakeView attachment 1611072
Duh.....!
Kwani anafinya hapo?
Shehe wa mkoa wa Dsm alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.
Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini.
Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.
View attachment 1611023
CCM kumekucha kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio shehe mjinga kuwahi kuongoza Dar, kasahau kuswalisha waumini wake kutwa kumpigia debe anaemuweka hapo bakwata....usije kuta anatafuna mdudu balaaShehe wa mkoa wa Dsm alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini...
Wewe utakuwa kafir!Sheikh yeyote anayeilaani BAKWATA sisi Waisilamu tutampokea.