johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Google,Mkuu tuwekee hiyo clip tuongeze siku za kuishi kwa vicheko
Huyu alhad Salum ndio mwenyekiti wa kamati ya Amani. Nimeshangaa sana!Waache wararuane kwanza ukifuatilia maneno yao utachoka mkuu
Eti hao niviongozi wanaohamasisha amani ingawaje siwasikii wakitamkatamka msamiati haki
Kamati ya amani ya CCMHuyu alhad Salum ndio mwenyekiti wa kamati ya Amani..... Nimeshangaa sana!
Hehehe maajabu. Huyu ni kipenzi chake Bashite wanalindana kitambo sana. Wachawi wale.Yeye Sheikh Alhad sio njaa ndio zinampeleka wenye kampeni za CCM?
Pohamba!Naona wameanza kusemana wenyewe kwa wenyewe.
CCM ikawaamue maana ndio wanayotetea.Wanapoambiwa usichanganye siasa na dini ndo madhara yake hayo leo viongozi wanacharuana, mmoja anatetea tumbo mmoja anatetea dini.