Sheikh Alhad Mussa Salum huna ubavu kuufunga mjadala huu

Wamevipigia simu vyombo vya habari na magazeti yasizungumzie tena suala la bandari huyo sheikh katumwa huyo😁

Nchi iloyofitinika
 
Shekhe ubwabwa huyu hamna shekhe humo
 
Tunamtaka shehe Ubwabwa atueleze zile AC alizipeleka wapi?
 
Nimeisikiliza huyu sheikh ni zero brain hivi ni wapi wametupiana maneno halafu mbona kapita mulemule kwenye tamko la TEC.

Hongereni sana TEC tamko lenu limeibua mambo mazuri sana kwa ajili ya Taifa hili limesaidia pia kuwajua wenye AKILI na mazuzu ambao hatutowaamini tena hakika sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.

Ukiacha hao wachungaji wawili sijui hata ni wa madhehebu gani hiyo jumuiya imejaa wavaa vibarakashia acheni usanii kwenye hili suala zito la Bandari na Nina wasihi wananchi tuendelee kupaza sauti.
 
Apeleke makobazi yake msikitini.... Mbwa huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…