GE2025 Sheikh Alhad Salum: Anayetaka damu imwagike Tanzania ni Shetani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
1761202589806.png
Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Maridhiano Na Amani Tanzania-JMAT Na Balozi wa Amani Duniani Kupitia Shirikisho La Amani Duniani (UPF), akizungumza kupitia Clouds TV leo Oktoba 23, 2025 amesema;

"Sisi kama viongozi wa dini tuna wajibu na tusipofanya hivyo tunapata dhambi mbele ya Mwenyezi Mungu na hatustahiki kuitwa viongozi wa dini.

"Kiongozi wa dini hawi Shetani. Anayetaka damu imwagike ni Shetani pekee, lakini Kiongozi wa dini hawezi kutaka damu imwagike ya Mtanzania ni kitu ambacho haiwezekani.

"Tena sio yake yeye atabaki kule lakini anashawishi wengine watoto wengine waende pale yeye atakuwa Shetani sio Kiongozi wa dini"
 
Hili nalo farisayo la kiislamu

Katika dini ambayo haipaswi kuzungumzwa amani kwenye ukandamizaji hii ni moja wapo

Viongozi wao kipindi hiki wanapaswa wafunge mabakuli yao wajiepushe kwa yanayoendelea, hawana hadhi yakuzungumzia
 
Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Maridhiano Na Amani Tanzania-JMAT Na Balozi wa Amani Duniani Kupitia Shirikisho La Amani Duniani (UPF), akizungumza kupitia Clouds TV leo Oktoba 23, 2025 amesema;

"Sisi kama viongozi wa dini tuna wajibu na tusipofanya hivyo tunapata dhambi mbele ya Mwenyezi Mungu na hatustahiki kuitwa viongozi wa dini.

"Kiongozi wa dini hawi Shetani. Anayetaka damu imwagike ni Shetani pekee, lakini Kiongozi wa dini hawezi kutaka damu imwagike ya Mtanzania ni kitu ambacho haiwezekani.

"Tena sio yake yeye atabaki kule lakini anashawishi wengine watoto wengine waende pale yeye atakuwa Shetani sio Kiongozi wa dini"
Ila wanaoliangamiza hili taifa ni ibilisi
 
Huyo taahira yaani damu inavyomwagika sasa haoni?
 
Back
Top Bottom