Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ila wanaoliangamiza hili taifa ni ibilisiSheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Maridhiano Na Amani Tanzania-JMAT Na Balozi wa Amani Duniani Kupitia Shirikisho La Amani Duniani (UPF), akizungumza kupitia Clouds TV leo Oktoba 23, 2025 amesema;
"Sisi kama viongozi wa dini tuna wajibu na tusipofanya hivyo tunapata dhambi mbele ya Mwenyezi Mungu na hatustahiki kuitwa viongozi wa dini.
"Kiongozi wa dini hawi Shetani. Anayetaka damu imwagike ni Shetani pekee, lakini Kiongozi wa dini hawezi kutaka damu imwagike ya Mtanzania ni kitu ambacho haiwezekani.
"Tena sio yake yeye atabaki kule lakini anashawishi wengine watoto wengine waende pale yeye atakuwa Shetani sio Kiongozi wa dini"
Huyo taahira yaani damu inavyomwagika sasa haoni?Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Maridhiano Na Amani Tanzania-JMAT Na Balozi wa Amani Duniani Kupitia Shirikisho La Amani Duniani (UPF), akizungumza kupitia Clouds TV leo Oktoba 23, 2025 amesema;