Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Salum wa Bakwata asema litakuwa jambo Jema kama itapatikana Tume Huru ya uchaguzi 2020 ili kulinda amani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Shehe wa mkoa wa Dsm, Alhad Salum amesema amani yetu ni tunu ya Taifa hivyo ni jambo jema kabisa kama itapatikana Tume huru ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu ie 2020.

Sheikh Salum ametoa maoni katika mahojiano ya waandishi wa habari na viongozi mbalimbali wa dini akiwemo Katibu mkuu wa Jumuiya za waislamu sheikh Ponda.

Chanzo: Mwananchi
 
Hayo ni maoni

Tume huru ya Uchaguzi ipo

Wapinzani wakishaona dalili za kushindwa hujificha kwenye tume huru
 
Weka clip
Shehe wa mkoa wa Dsm alhad Salum amesema amani yetu ni tunu ya taifa hivyo ni jambo jema kabisa kama itapatikana Tume huru ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu ie 2020.

Sheikh Salum ametoa maoni katika mahojiano ya waandishi wa habari na viongozi mbalimbali wa dini akiwemo Katibu mkuu wa Jumuiya za waislamu sheikh Ponda.

Source Mwananchi
 
Shehe wa mkoa wa Dsm, Alhad Salum amesema amani yetu ni tunu ya Taifa hivyo ni jambo jema kabisa kama itapatikana Tume huru ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu ie 2020.

Sheikh Salum ametoa maoni katika mahojiano ya waandishi wa habari na viongozi mbalimbali wa dini akiwemo Katibu mkuu wa Jumuiya za waislamu sheikh Ponda.

Chanzo: Mwananchi
1660090_FB_IMG_1514731600839.jpg
 
Duh.. !, Kama Sheikh wa Dar es Salaam kayasema haya, huku sasa ni kuchanganya dini na siasa, kwa kuanzia, Makonda hatamwalika tena kwenye events za Dar es Salaam, na Mufti atashauriwa aanze mchakato wa kumuondoa!, amuondoe!.

Nimeshauri hivi kwasababu NEC ni Tume Huru.
Ndio iliyomuingiza Mbowe, Mbatia, Zitto na wapinzani wengine wote Bungeni, na uhuru huo ndio mwezi October 2020, unakwenda kuwaengua
Huyu Sheikh anataka kutuharibia!.
P
 
Sijui niseme akili zinamrudia au ameamka????
 
Duh.. !, Kama Sheikh wa Dar es Salaam kayasema haya, huku sasa ni kuchanganya dini na siasa, kwa kuanzia, Makonda hatamwalika tena kwenye events za Dar es Salaam, na Mufti atashauriwa aanze mchakato wa kumuondoa!, amuondoe!.

Nimeshauri hivi kwasababu NEC ni Tume Huru.
Ndio iliyomuingiza Mbowe, Mbatia, Zitto na wapinzani wengine wote Bungeni, na uhuru huo ndio mwezi October 2020, unakwenda kuwaengua
Huyu Sheikh anataka kutuharibia!.
P
What do you mean by "amuondoe"? U mean afanye kama.alivyo fanya Al Marhum Sheikh Simba Kwa Sheikh wetu Yule WA Lindi mwaka ule? Sijakusoma hapo Kaka mkubwa
 
Back
Top Bottom