Sheikh aliyesema atakata watu watakaoandamana vichwa alitakiwa awe anahojiwa na Polisi

Sheikh aliyesema atakata watu watakaoandamana vichwa alitakiwa awe anahojiwa na Polisi

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Lissu alisema atakinukisha yuko gerezani, Shekhe kasema atakata vichwa waandamanaji imekuwa habari kwenye media ana trend yupo kijiweni anavuta fegi na kahawa.

Karibu Tanzania.

Polisi mnataka tuanze kuwafundisha kazi yenu, Au mnajua tu kuua na nyie ?
 
Nchi ya kifala sana hii, tuna viongozi hamnazo sana nchi hii. Ule mzaha wa mtu yule sio wa kufumbiwa macho.
Kesho wataibuka watu watataka "wachinje wenyewe" nyama zao.
 
Hawezi kukamatwa mana anatekeleza majukumu yake aliyotumwa na watawala
 
Lissu alisema atakinukisha yuko gerezani, Shekhe kasema atakata vichwa waandamanaji imekuwa habari kwenye media ana trend yupo kijiweni anavuta fegi na kahawa.

Karibu Tanzania.

Polisi mnataka tuanze kuwafundisha kazi yenu, Au mnajua tu kuua na nyie ?
hapana. asitupotezee muda. atembelewe yeye na kizazi chake.
 
Angekuwa mpinzani anagekuwa kashatekwa sasa hivi na kupelekwa mahakamani.

Intelijensia inafanya kazi hivyo. Ila matukio haya yamefanya dunia itufuatilie kwa ndani zaidi na kuona jinsi tulivyo scammers
 
1001344889.jpg
 
Kuua waandamanaji siyo kosa nchi hii ndiyo maana hakuna aliyewajibika mpaka sasa!
 
Hili suala la kukatana vichwa limeanza kuzungumzwa toka siku ile ya uzinduzi wa hema la Mwamposa, kuna sheikh alizungumzia hilo kukatwa kichwa aliyesema atakinukisha. Alisema hivyo mbele ya Samia.
 
Back
Top Bottom