Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Ukiona mwanasiasa anatumia dini kama kinga ya kutafuta kura za huruma ujue huyo haishiwa hoja kabisa
NonsenseUkiona mwanasiasa anatumia dini kama kinga ya kutafuta kura za huruma ujue huyo haishiwa hoja kabisa
KumekuchaView attachment 3040907
"Uadui wa Uislamu na Chadema unatokea wapi? na watu bila kuangalia na kufikiria chochote wanaipokea propaganda hii. Chadema siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, Chadema ni chama cha kisiasa." Shekh Ally Kadogoo
Hovyo kabisa chademaKumekucha
Upuuzi kabisa huu. Kuna sababu gani ya kujipendekeza badla ya kuelezea hoja zai?
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu.Hovyo kabisa chadema
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.Chadema ni chama chenye mlengo wa Kidini Bora hata ya CCM
Ni kweli kabisaCCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
Chadema ni chama chenye mlengo wa Kidini Bora hata ya CCM
Kama gwajima, rwakatare r.i.p, na wenzao unawajua.Ukiona mwanasiasa anatumia dini kama kinga ya kutafuta kura za huruma ujue huyo haishiwa hoja kabisa
Huyu Shekh atafukuzwa na BAKWATAView attachment 3040907
"Uadui wa Uislamu na Chadema unatokea wapi? na watu bila kuangalia na kufikiria chochote wanaipokea propaganda hii. Chadema siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, Chadema ni chama cha kisiasa." Shekh Ally Kadogoo
Nakubaliana na weweLazima uwe mpumbavu kupindukia kuamini kuwa Tanzania kuna chama cha kidini.
Kuna wanasiasa punguani ambao baada ya kuishiwa nguvu ya kupambana na wapinzani wao, ndio huishia na maneno ya kiwendawazimu na kusema, usichague CUF/CHADEMA/ACT, kwa sababu ni chama cha waislam/wakristo. Na uwendawazimu huu hufanywa zaidi na CCM, kwa sababu huko ndiko walikojaa punguani.
Tena limejaa majangili tupuCCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
Haitaji hata kwenda shule Bro Chadema mara nyingi wanahusisha mambo yao ya kisiasa na Maaskofu na Viongozi wengine wa Dini na hichi chama kimeshapoteza Dira Tena hakina nguvu ni chama cha kikanda ,ukabila na Udini kama unachukia kusikia hivi basi chukia tu ila ukweli ndio huoLazima uwe mpumbavu kupindukia kuamini kuwa Tanzania kuna chama cha kidini.