Kadogoo
Kadogoo amepewa shilingi ngapi toka kwa mzee Mbowe?View attachment 3040907
"Uadui wa Uislamu na Chadema unatokea wapi? na watu bila kuangalia na kufikiria chochote wanaipokea propaganda hii. Chadema siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, Chadema ni chama cha kisiasa." Shekh Ally Kadogoo