Pre GE2025 Sheikh Ally Kadogoo: CHADEMA siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, CHADEMA ni chama cha kisiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kama Chadema chama cha kikanda, kikabila, na kidini, maana hicho ni chama kilichokusanya makundi yote, kisichomtenga yeyote.
 
Vyama vyote vinatumia dini tusidanganyane,CCM na Maaskofu na Mashehe, CCM wana weledi mkubwa wa kuwatumia viongozi wa dini hususani kwa kutumia pesa,hasa wakatoliki,KKT na pentecoste church na waislamu. Chadema, CUF na ACT wao pia hutumia dini ingawaje kwa ushawishi tu wao hawana kitu cha kuwapa. Dini ni kinyanganyiro kwa vyama vote,ukanda na ukabila pia hutumika,safari hii na jinsia itatumika.Tofauti kubwa ni matumizi ya rushwa kwenye dini.
 
 
Sawa. Lakini kutumia pesa za walipa kodi kuhonga viongozi wa dini ndio weledi huo?
 
C
View attachment 3040907
"Uadui wa Uislamu na Chadema unatokea wapi? na watu bila kuangalia na kufikiria chochote wanaipokea propaganda hii. Chadema siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, Chadema ni chama cha kisiasa." Shekh Ally Kadogoo
CCM HAINA UDINI , CHAMA BORA NI KILE KINACHOKUWA KINAGUSA WATU WA IMANI ZOTE. CCM HAMNA UKABILA WALA MATABAKA, KARIBUNI WOTE.



KINGINE KAMA TAIFA LA TANZANIA , TUMUUNGE MKONO MHE. RAISI wetu SAMIA SULUHU HASSAN , nae ni kiongozi mwenye upendo wa dhati . Kiongozi bora ni yule mpenda watu kuanzia jamii yake paka ya jirani . Mungu bariki viongozi wetu wa Afrika . Mungu ibariki Tanzania
 
Nakukumbusha, uwendawazimu huo pia hufanywa na CHADEMA wanapoishambulia ACT, Wanasema ACT ni chama cha kiislam πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii nchi wote wahuni tu, hakuna msafi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…