Sheikh asema bima zote ni haramu

Sheikh asema bima zote ni haramu

Nchi za kiarabu kwa ushamba wao miaka ya karibuni ndio wamefuata uchumi wa kizungu moja kwa moja na ndio zimeanza kuingia kwenye matatizo.Walipokuwa wanafuata uchumi wa karibu na uislamu waliishi maisha mazuri na kila mtu duniani alikuwa anakimbilia huko.
Walikuwa hawana mifumo ya uchumi wa VAT wala bima hizi za kinyonyaji.
Nitajie hata nchi moja inayofuata uchumi wa kizungu ambayo raia wake wana utulivu.Ni ombaomba tu mitaani na mauwaji kila kipembe cha nchi.
taja miaka ipi. ukiona picha za mwarabu kabla ya mafuta hapa utalia machozi.
 
Nchi za kiarabu kwa ushamba wao miaka ya karibuni ndio wamefuata uchumi wa kizungu moja kwa moja na ndio zimeanza kuingia kwenye matatizo.Walipokuwa wanafuata uchumi wa karibu na uislamu waliishi maisha mazuri na kila mtu duniani alikuwa anakimbilia huko.
Walikuwa hawana mifumo ya uchumi wa VAT wala bima hizi za kinyonyaji.
Nitajie hata nchi moja inayofuata uchumi wa kizungu ambayo raia wake wana utulivu.Ni ombaomba tu mitaani na mauwaji kila kipembe cha nchi.

main-qimg-e5f418b0b44873c2637a07404cbd1916-pjlq.jpg
 
K
Assalaam Alaykum

Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote. Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (S.A.W) na Swahaba zake (R.A) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.

Huyu Bwana kwenye hii clip, ameielewa na kuifafanua Bima (Ta'amyn) kwa mtizamo wa Bima ya maisha. Na huu ni mtizamo tofauti kabisa na Bima ya Afya.

Aidha amefikia hatua ya kuifananisha Bima ya Afya kama ni biashara inayo husisha vitu vitatu ambavyo ni haram navyo ni: Kamari, Riba na Gharal (biashara isiyo julikana), na hivi vyote havishabihiani (tofauti) kabisa na Bima ya Afya.

Tuanze na ufafanuzi wa Kamari (Gambling). Kwenye kamari either you gain or you loose hivyo ni mchezo wa kubahatisha (Betting), lakini Binaadamu yeyote duniani (Aliye zaliwa na Mwanamke) katika uhai wake ni lazima ataugua au kushambuliwa na maradhi ( So Maradhi/Uganjwa is a sure to come event) sasa hapo suala la kamari litaingia vipi?
Riba (Interest) Kwa tafsiri ya kawaida ni kwamba Riba ni kitu chochote chenye monetary value, ambacho kinajumuisha fidia, equity, tunu, na hata intellectual property ambayo anapewa mfaidika whether or not the value is readily ascertainable. Sasa hapa kwenye Bima ya Afya mfaidika hapati monetary gain yeyote zaidi ya huduma ya Afya/matibabu anayopewa kwa maana nyingine huyu mfaidika anapata service in kind. Na hata hivyo kwenye makubaliano ya awali na huyo service provider hakuna kipengele cha interest (Riba) yeyote hapo.

Gharal (Kisicho julikana-Intangible). Nadharia hii haihusishi kabisa matibabu yanayo tokana na Bima ya Afya, kwa maana ya kwamba mgonjwa anakwenda Hospitali/Kituo cha Afya/Zahanati physically anatibiwa, kwa kupewa dawa, X-ray, kuchomwa sindano n.k sasa hapo Gharar inaingia vipi?

Sheikh @⁨~Juma⁩ kuna mengi ya kujadili hapa, lakini muda ambao si rafiki, itoshe kusema kwenye Bima yeyote imetawaliwa na misingi mikuu mitatu:
1. Insurable Interest ikiwa na maana ya kwamba wewe mkata Bima una maslahi gani na hiyo Bima?
2. Indemnity & Subrogation Hii ina maana ya kwamba kiwango cha fidia iwe ya matibabu au chochote ni kile kile ambacho kitakurudisha katika hali ya mwanzo kabla ya kadhia iliyo kupata be it Afya, Kuibiwa etc.
3. Uberrimae Fidei: Hii ina maana ya kwamba uwe mkweli kwa nafsi yako na kwa Allah (swt), Utmost Good Faith. Na hiki ndio kipengele muhimu ukizingatia imani (Center of contravesial).

Lakini zaidi ya yote ni nani nani kati yetu anaye fahamu kuwa kesho ataugua?
Ni vyema kujiandaa sasa kwa maisha ya kesho

Na tuliyoyateremsha kutoka katika Qur-aan ni uponyaji (moyo) na rehema (ya Mwenyezi Mungu) kwa Waumini

Surah Israh(17)

Tunamuomba Allaah Aliyetukuka Atutengenezee mambo yetu na Atuepushe na haramu.
kumbe ww jamaa ni ndugu katika Imani, hakika unastahili kuwa hilo kundi maana sio kwa shombo unazotemaga humu jf
 
Kama kawaida yake uislamu ni dini ya haki na isiyotoa mwanya wa ujanja,utapeli na unyonyaji.
Masheikh mbali mbali wameendelea kuweka wazi msimamo huo wa uislamu ambao umo kwenye Qur'an na suna za mtume Muhammad rehma na amani zimshukie.
Katika ufafanuzi huo,masheikh wamesema kama itatokea muislamu kulazimishwa na mifumo ya kiinchi kuchangia bima kwa lazima basi siku atakapoumwa na ikatibiwa kwa gharama zaidi ya zile anazochangia kwa mwaka basi ni wajibu kwake kuuliza hesabu hizo na tofauti ya juu aliyokuwa hakuchangia basi aitoe sadaka.
Muhimu kuliko yote asitibiwe kwa pesa walizochangia wengine.Atibiwe kwa pesa zake mwenyewe au zilizochangwa na ndugu na wahisanai wake.

View: https://www.youtube.com/watch?v=OjIHAm_536s

Dini ya haki huku wanachapa watu viboko kwasababu wanakula kipindi cha ramadhan?
Walivyokuwa wajinga, Tanzania hakuna hospital ya kiislamu hata moja.
98%ya vitu au bidhaa wanatumia za makafiri😁😁😁😁
 
Kama kawaida yake uislamu ni dini ya haki na isiyotoa mwanya wa ujanja,utapeli na unyonyaji.
Masheikh mbali mbali wameendelea kuweka wazi msimamo huo wa uislamu ambao umo kwenye Qur'an na suna za mtume Muhammad rehma na amani zimshukie.
Katika ufafanuzi huo,masheikh wamesema kama itatokea muislamu kulazimishwa na mifumo ya kiinchi kuchangia bima kwa lazima basi siku atakapoumwa na ikatibiwa kwa gharama zaidi ya zile anazochangia kwa mwaka basi ni wajibu kwake kuuliza hesabu hizo na tofauti ya juu aliyokuwa hakuchangia basi aitoe sadaka.
Muhimu kuliko yote asitibiwe kwa pesa walizochangia wengine.Atibiwe kwa pesa zake mwenyewe au zilizochangwa na ndugu na wahisanai wake.

View: https://www.youtube.com/watch?v=OjIHAm_536s

Angalia kama kuna mfia dini tajiri dunia hii
 
Uislam ni kitu kipya sana, Kuna empire zilikuwepo kabla hata ya uislam, Rome empire au China dynasties zilikuwepo maelfu ya miaka kabla ya uislam na zilikuwa zina civilization na way of life superior kuliko nchi nyingi zilizoendelea sasa , ukienda sehemu kama China sasa ukaongea uislam au ukristo unaonekana chizi tuu, hizi dini ni human creation na hazina ukweli wowote ndio maana huwezi ukauliza maswali ukajibiwa zaidi ya Imani tuu, za kupewa changanya na zako
 
Unakuta mtu anakataa kukopa kwa riba,
na huyu huyu anapita matakoni kwa wenzie.
Imani hizi ni aina ya ugonjwa mwingine wa akili
 
Sheikh kasema bima Ni Haram. Tuchukulie sheikh Hana elimu ya kutosha kuhusu risks. Je kwa akili yako wewe Webabu unaona bima Ina maana au haina?
Hata mimi sina elimu kuhusu risks na wewe pia.Ni kubahatisha tu.
Bima haina maana yoyote.Iwe kitu cha hiyari.Wanaotaka wawekewe bima na tusiotaka tuachwe tumtegemee Mungu
 
Kama kawaida yake uislamu ni dini ya haki na isiyotoa mwanya wa ujanja,utapeli na unyonyaji.
Masheikh mbali mbali wameendelea kuweka wazi msimamo huo wa uislamu ambao umo kwenye Qur'an na suna za mtume Muhammad rehma na amani zimshukie.

Katika ufafanuzi huo,masheikh wamesema kama itatokea muislamu kulazimishwa na mifumo ya kiinchi kuchangia bima kwa lazima basi siku atakapoumwa na ikatibiwa kwa gharama zaidi ya zile anazochangia kwa mwaka basi ni wajibu kwake kuuliza hesabu hizo na tofauti ya juu aliyokuwa hakuchangia basi aitoe sadaka.

Muhimu kuliko yote asitibiwe kwa pesa walizochangia wengine.Atibiwe kwa pesa zake mwenyewe au zilizochangwa na ndugu na wahisanai wake.

Hiari yashinda utumwa, Sio lazima kujipatia bima kama unajimudu. Ila angalia sana...wengine wanasema wanatibu kwa kutumia majini. Isijekuwa wanakataza watu wasiwe na bima, ili kuboresha miradi yao tapeli ya uganga wa kienyeji.
Ukienda vijijini unaweza kupata mshituko sana ukiona jinsi watu wanavyowaamini waganga wa kienyeji, hata katika magonjwa ambayo yanahitaji kutibiwa kawaida hospitalini. Wakishindikana wanapelekwa hospitalini wakiwa na hali mbaya.
Ujinga kwa mwanadamu ni kitu kiovu na kibaya sana. Ni maradhi yasiyotibika na ndio maana wajinga wanatumiwa na hao wenye akili wakisingizia wanasimamia dini
 
Kuhusu bima huna chochote cha kusema kupingana na masheikh kuhusu uharamu wake.
Uislamu unapinga kwa nguvu zote uganga wa kishirikina na wakati huo huo unahimiza kutafuta tiba mtu anapoumwa.
Kisichotakiwa ni mambo ya kuishi kwa kubahatisha na kutumia jasho la watu bila ridhaa zao.
Mtu akiumwa ni jukumu la ndugu na jamii kumtibu hata kama hana pesa.Kama ilivyo akifa pia ni jukumu la jamii kumzika akiwa na pesa au hana.
 
Wishing ,you all the best. Iman yako na hiari yako. Acha wengine tuendelee na yetu kimya kimya.After all, mlango wa kwenda kwa Mola, kila mtu ataenda peke yake. Hakuna amsha amsha
 
Kuhusu bima huna chochote cha kusema kupingana na masheikh kuhusu uharamu wake.
Uislamu unapinga kwa nguvu zote uganga wa kishirikina na wakati huo huo unahimiza kutafuta tiba mtu anapoumwa.
Kisichotakiwa ni mambo ya kuishi kwa kubahatisha na kutumia jasho la watu bila ridhaa zao.
Mtu akiumwa ni jukumu la ndugu na jamii kumtibu hata kama hana pesa.Kama ilivyo akifa pia ni jukumu la jamii kumzika akiwa na pesa au hana.
Kama kweli haya unayoyasema yako kwenye hiyo DINI, basi hiyo sasa ni Satanic verse.
 
Back
Top Bottom