Sheikh Bakoz: Tunajiuliza maswali, CHADEMA wameingia mkataba gani na Kanisa Katoliki?

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Vita imekuwa kali sana udini unataka kuichafua nchi kijinga sana. Nyie Mashekh acheni ushamba wa kidini jengeni hoja na sio kuingia katika vita vya kidini katika kutetea maslai ya watu wachache.

Kama mnatumika na watu fulani kumbukeni mnajenga vita mbaya sana!
===========
Sheikh Bakoz: Tunajiuliza maswali CHADEMA wameingia mkataba gani na kanisa? Kwa mwendo huu wa Chadema tutaanzisha harakati maalum ya kuipiga kwa waislam isiungwe mkono na tunaweza kwa sababu kuna mkakati fulani umetengenezwa kati ya CHADEMA na Kanisa Katoliki
 
huyu jamaa ni mdini. Na kobazi wengine watamuona ana akili sana.
 
Vita imekuwa kali sana udini unataka kuichafua nchi kijinga sana. Nyie Mashekh acheni ushamba wa kidini jengeni hoja na sio kuingia katika vita vya kidini katika kutetea maslai ya watu wachache.

Kama mnatumika na watu fulani kumbukeni mnajenga vita mbaya sana!
===========
Sheikh Bakoz: Tunajiuliza maswali CHADEMA wameingia mkataba gani na kanisa? Kwa mwendo huu wa Chadema tutaanzisha harakati maalum
FB_IMG_1763577206217.jpg
 
Hawa Masheikh waache kujidhalilisha sasa! Yeye wakati anaishutumu Chadema, mbona hatuambii yeye na masheikh wenzake wamepewa nini mpaka wameamua kutetea utekaji na mauaji yanayofanywa na serikali?
 
Back
Top Bottom