Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Taasisi za dini Zina msamaha,wahuni hutumia mihuri ya taasisi za dini kupitisha mizigo Yao halafu taasisi zinapata chochote kituKatoliki ndo wanaendesha TPA ?
Wamepotoka...Mashekh kadhaa wametoka na kutoa mapovu yao kwa Kanisa Katoliki na kutoa tuhuma nzito sana!
Wamedai kwamba wizi unaendelee katika Bandari umebarikiwa na Kanisa Katoliki, na kusema kwamba waislamu wa leo si kama walipita wa sasa wameenda shule na wamesoma.
Haya mazwazwa yamezidi. Kwani, kanisa ndo linaendesha bandari au DP Arab world?Mashekh kadhaa wametoka na kutoa mapovu yao kwa Kanisa Katoliki na kutoa tuhuma nzito sana!
Wamedai kwamba wizi unaendelee katika Bandari umebarikiwa na Kanisa Katoliki, na kusema kwamba waislamu wa leo si kama walipita wa sasa wameenda shule na wamesoma.
Kwa nini serikali haiwakamati hao wahuni?Taasisi za dini Zina msamaha,wahuni hutumia mihuri ya taasisi za dini kupitisha mizigo Yao halafu taasisi zinapata chochote kitu
Taasisi za dini Zina msamaha,wahuni hutumia mihuri ya taasisi za dini kupitisha mizigo Yao halafu taasisi zinapata chochote kitu
Hapana. Ni elimu ahera aka Mohamed's ignominyMadhara ya elimu duunnia!!
Kwa hiyo Shekh baraka iliyotolewa kwa uuzaji wa bandari tuichukue kwa kuwa wizi bandarini bado upo?Kwahiyo pia tuseme ngonjera ya ufanisi kuongezeka ni itapeli sio au mimi tu ndio sijakuelewa?Mashekh kadhaa wametoka na kutoa mapovu yao kwa Kanisa Katoliki na kutoa tuhuma nzito sana!
Wamedai kwamba wizi unaendelee katika Bandari umebarikiwa na Kanisa Katoliki, na kusema kwamba waislamu wa leo si kama walipita wa sasa wameenda shule na wamesoma.
Let's say kweli ndio TEC ndio Wezi bandarini,mamlaka za serikali zimeshindwa kuzuia,Kukamata au kufugua kesi dhidi ya wezi hao?? Serikali imefeli kusimamia Rasilimali zetu??Nini kifanyike? Serikali mpya itakayo wajibika kupambana na wezi...
Hawa watu wanahitaji tiba ya magonjwa ya akili. Watuambie kama kitendo cha vyombo vya dola cha kuteka na kuua raia kiholela kinakubalika katika dini ya kiislamu!Mashekh kadhaa wametoka na kutoa mapovu yao kwa Kanisa Katoliki na kutoa tuhuma nzito sana!
Wamedai kwamba wizi unaendelee katika Bandari umebarikiwa na Kanisa Katoliki, na kusema kwamba waislamu wa leo si kama walipita wa sasa wameenda shule na wamesoma.
Tupe CV ya huyo ShehenaMashekh kadhaa wametoka na kutoa mapovu yao kwa Kanisa Katoliki na kutoa tuhuma nzito sana!
Wamedai kwamba wizi unaendelee katika Bandari umebarikiwa na Kanisa Katoliki, na kusema kwamba waislamu wa leo si kama walipita wa sasa wameenda shule na wamesoma.