Sheikh Bakoz: Wizi unaofanyika bandarini unabarikiwa na kanisa Katoliki

Huku sasa ni kupatwa kwa Masheikh na wahadhiri wao wa kiislam. Kila mtu anakuja na tamko lake lililojaa mapovu na mihemko! Hakuna ushahidi wowote ule! Yaani kila mtu anabwabwaja tu.
 
Kumbe kuna wizi bandarini na ccm wamenyamaza kimya?. Hawafai kabisa kuendelea kutawala.
 
Taasisi za dini Zina msamaha,wahuni hutumia mihuri ya taasisi za dini kupitisha mizigo Yao halafu taasisi zinapata chochote kitu
Kwa hiyo serikali inafahamu na haiwachukulii hatua yoyote wanabariki uhujumu uchumi sio ?
Ccm ni kama genge la wahuni ?
Nikikuambia huna akili utakasirika ?
 
Yaani jamaa halieleweki point yake ni nini. Eti chokochoko ni DP World kwani wao kama waislam wanafaidika nini na DP World au TEC wanapata hasara gani DP World wakiwa hapo bandarini????

Anafikiri kuongea kwa kufoka ndo kueleweka?? Jenga hoja watu wakuelewe, unapewa posho utetee kitu hata haikifaham hii ndo shida yake. Mwisho unaonekana kituko a.k.a bichwa empty set.

Kwani wanachokiongea TEC kina uongo gani? Tupe point kuwa TEC wamewadanganya ukweli ni huu
 
Your browser is not able to display this video.

Muwe mnawatumia mashekh wenye akili kama Mufti Shafii
 
Mimi nashauri TEC na BAKWATA viwe vyama vya siasa ili tusikilize sera zao wakati wa kampeni
 
Huyu mama kaamua kulipa hawa hela ili wawachokoze katoliki, ili pachimbike. Tunaomba Katoliki wasimjibu mtu. Anachokitafuta na watu wake, ni vita ya kidini. Yani mzigo wote eti anaangushiwa katoliki kweli??!! Aiseee. Yani yuko tayari kuendesha nchi kwa njia yoyote ile, ali mradi abaki madarakani. Hata mkiuana wala hajali.
 
Kama umegundua kati ya hawa wote waliojitokeza hakuna hata mmoja aliyeweza kujibu hoja za TEC.

TEC : "Watu wengi wameuwawa...."

Masheikh : "Mbona kipindi cha Magufuli waliuwawa pia."

Kauwawa Sheikh Zanzibar hata mwaka haujaisha walitoa tamko gani hawa mafala?

Hauko tayari kuwasemea Waislamu wenzako wakionewa ila uko tayari kuwasemea CCM ambao wana tuhuma kibao za kutesa waumini wenzako.

Huu kama sio ufala ni kitu gani?
 
Hapa ndio nawa heshimu Tec, wao wali toa hoja zilizo na ushahidi ulio onekana.

Ila baraza uchwara lime kuja na shutuma zisizo na kichwa wala miguu.

#hakuna maridhiano na wahuni
Nakuhakikishia huyu ataungwa mkono na waislam wote Tanzania kwa haya maneno yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…