Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Huyu ndo mwislamu anayedai kasoma? Katoliki wanaendesha Bandari ipi? Hii dini kweli ndo maana wanavaa makobazi na hawasafishi kinywa🚮🚮🚮🚮Mashekh kadhaa wametoka na kutoa mapovu yao kwa Kanisa Katoliki na kutoa tuhuma nzito sana!
Wamedai kwamba wizi unaendelee katika Bandari umebarikiwa na Kanisa Katoliki, na kusema kwamba waislamu wa leo si kama walipita wa sasa wameenda shule na wamesoma.
Ndiyo maana taasisi za dini zinahisi Zina nguvu,kwa kuzowea kudekezwa hukoKwa hiyo serikali inafahamu na haiwachukulii hatua yoyote wanabariki uhujumu uchumi sio ?
Ccm ni kama genge la wahuni ?
Nikikuambia huna akili utakasirika ?
Taasisi zote za dini zina msamaha huo,uliwekwa tangu 'zamani' kimkakati,ni aina Fulani ya ruzuku,sasa wengine walipoamka wakaanza nao kutumiaKatika hizo taasisi BAKWATA haipo?
JidanganyeFraud ya kutumia mihuri ni individual crime, siyo policy ya taasisi, usichanganye uhalifu wa mtu mmoja na heshima ya taasisi nzima.
Usilolijua usiku wa Giza ndugu, JK alitaka futa hiyo,watu fulani wakafuraKama Taasisi za Dini maanane ni Wote TEC na BAKWATA. Na solution si ni kufuta hiyo misaada kama michezo yao ndo hio au kuwapeleka Court.
Hii mbona kama ni kesi ndogo sana.
Wahuni!!?..makarani wa Mungu ndiyo wafanyao hayo,wakikamatwa wakalia wafuasi hamtopiga kelele!?..jk alichukiwa kwa mengiKwa nini serikali haiwakamati hao wahuni?
Elimu. Elimu. Elimu.Katoliki ndo wanaendesha TPA ?
Hawajui kuwa kwa tuhuma uchwara kama hizi wanazidi kumchafua wanayedhani wanamsaidia.Let's say kweli ndio TEC ndio Wezi bandarini,mamlaka za serikali zimeshindwa kuzuia,Kukamata au kufugua kesi dhidi ya wezi hao?? Serikali imefeli kusimamia Rasilimali zetu??Nini kifanyike? Serikali mpya itakayo wajibika kupambana na wezi...
Ndo maana tunasema Ccm imetuharibia nchi yetuNdiyo maana taasisi za dini zinahisi Zina nguvu,kwa kuzowea kudekezwa huko
Kosa la nani apo?Taasisi za dini Zina msamaha,wahuni hutumia mihuri ya taasisi za dini kupitisha mizigo Yao halafu taasisi zinapata chochote kitu
Kwahiyo? Msamaha inahusiana nn na wizi?Taasisi za dini Zina msamaha,wahuni hutumia mihuri ya taasisi za dini kupitisha mizigo Yao halafu taasisi zinapata chochote kitu
Kusoma unaweza,kuelewa ndiyo shidaKwahiyo? Msamaha inahusiana nn na wizi?
Mimi nashauri TEC na BAKWATA viwe vyama vya siasa ili tusikilize sera zao wakati wa kampeni
Kwa hio GSM ni wakatoliki 😂😂😂😂😂. Maana GSM ndio kampuni inayokutolea mzigo kwa bei rahisi na hawana mpinzani toka ilivyokuwa Home Shopping Centre.Mashekh kadhaa wametoka na kutoa mapovu yao kwa Kanisa Katoliki na kutoa tuhuma nzito sana!
Wamedai kwamba wizi unaendelee katika Bandari umebarikiwa na Kanisa Katoliki, na kusema kwamba waislamu wa leo si kama walipita wa sasa wameenda shule na wamesoma.