Mzee kwa taaluma nakukubali sana ila ulalamishi tuu.Sasa kama msomi kama wewe hivi sasa wengine itakuaje?Anyway nitaingia kwenye hiyo link napenda kusoma.Nyiokunda,
Huna la kusema kuhusu hii hapo chini?:
Mohamed Said: WOMEN LEADERSHIP SUMMIT 2018 MLIMANI CITY 27 FEBRUARY 2018
Kingunge Ngombale Mwiru: Nilitofautiana na kupata matatizo na viongozi wa kanisa Katoliki, Nikaacha kwenda KanisaniLengo ni kueleza umma hakuchaguliwa kwa sababu ya uislam?? Vipi kipindi hicho hakuna wanafunz wa kiislam walienda secondary, baraza lilikuwa linajua kuwa yeye ana madrassa?
Kingunge Ngombale Mwiru: Nilitofautiana na kupata matatizo na viongozi wa kanisa Katoliki, Nikaacha kwenda KanisaniMohamed Said kwa hiyo kipindi hicho hakukuwa Na Waislam wanaoenda sekondari Na vyuo, kisa ni dini yao?
Naomba ufafanuzi
Mimi nilivyoelewa ni kwamba hakuna kitu kikubwa kama dhamira. Sheikh HM alitaka sana kusoma lakini hali halisi haikumruhusu kufikia azma yake kutokana na kutochaguliwa kwenda Form 1.Unachotala kutuambia hapa ni nini?
UDINI (kuonewa uislamu) kwenye kuchaguliwa kuingia sekondari toka la saba? Maana huko kwingine pamoja na kuwa mwalimu wa DINI na kuwa muislamu bado uliendelea..!!!
Kingunge Ngombale Mwiru: Nilitofautiana na kupata matatizo na viongozi wa kanisa Katoliki, Nikaacha kwenda KanisaniMzee kwa taaluma nakukubali sana ila ulalamishi tuu.Sasa kama msomi kama wewe hivi sasa wengine itakuaje?Anyway nitaingia kwenye hiyo link napenda kusoma.
Kwa Dar hali ilikuwa tofauti kwani kipindi kile wenyeji wa dar ndiyo walikuwa wengi kuliko wageni na vile vile dar ilikuwana shule nyingi kuliko mikoa yote[ sijui Moshi na Bukoba]. Hivyo kwa jinsi alivyokuwa anafanya vizuri darasani halafu mwisho wa siku asichaguliwe -[Hasa ikizingatiwa kuwa mwalimu wake alikwisha muonya kabla.]Unajua haya mambo ukweli ni kwamba islam mliwekeza sana kwenye madrassa na hii elimu ya kawaida mliichukulia kama ya wakristo, nimeishi sana lindi na mtwara naelewa kitu nachozungumza kilwa kisiwani nilikuta shule kubwa ya madrassa wanafunz wanaenda asubuhi wanarud jioni huo mda wa kwenda kusoma physics wanaupata wapi? Kwa hiyo wazee wenu aliinyapapaa elimu dunia na wamisionary waliwekeza kwenye elimu dunia, na hii dhana hadi leo ipo ndio mikoa waliokaa sana waarabu kiwango chao cha elimu ni kidogo
Umeona the positive side of it... LAKINI KWA CONTENT YAKE ILIVYOKAA, ALITAKA KUTUONYESHA UDINI ULIVYOTAMALAKI.... Sasa sijui hakukuwa na waislamu wengine na wakristu waliokosa nafasi au waliopata nafasi..!!!Mimi nilivyoelewa ni kwamba hakuna kitu kikubwa kama dhamira. Sheikh HM alitaka sana kusoma lakini hali halisi haikumruhusu kufikia azma yake kutokana na kutochaguliwa kwenda Form 1.
Hali hii haikumvunja moyo hata kidogo na ninahisi ilimuongezea dhamira na hivi leo yeye ni msomi mkubwa wa elimu ya dunia na ya dini na bado hajaridhika kwenye hili.
Kwangu mimi ni somo kubwa sana . Kwenye dhamira ya dhati hakuna wa kuzuia.
Kwa vizazi yetu vya sasa ambao ni hodari wa kulalamika, hili ni somo tosha.
Astaghfirullah inaingiaje hapoAstaghfirullah! Ulianza darasa la kwanza ukiwa na umri wa miaka 11 tena jijini Dar es Salaam! Nikiwa na umri wa miaka 11 nilikuwa niko darasa la 6 tena kijijini! Ngoja nikae kimya.
Kwahiyo walipaswa wawe wangapi ili uwe udini? Maana naona unahoji kuhusu wengine waliofanyiwa kama yeye kama wapo.Umeona the positive side of it... LAKINI KWA CONTENT YAKE ILIVYOKAA, ALITAKA KUTUONYESHA UDINI ULIVYOTAMALAKI.... Sasa sijui hakukuwa na waislamu wengine na wakristu waliokosa nafasi au waliopata nafasi..!!!