impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Naye ni mpigania uhuru?Mohamed Said ina maana hata sheikh mkuu wa Tanzania Mufti Zuberi humtambui?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naye ni mpigania uhuru?Mohamed Said ina maana hata sheikh mkuu wa Tanzania Mufti Zuberi humtambui?
Ndiyo.
Laki...Mohamed Said, unafurahisha sana. BAKWATA inaungwa mkono na waislamu wa madhehebu yote, wassuni na washia, wasioiunga mkono ni kikundi kidogo cha waislamu wenye msimamo mkali wanaoitwa " Answar Sunna" . BAKWATA iko kila mkoa, kila wilaya inashughulikia matatizo yote ya waislamu , mirathi,ndoa, n.k
Labda huelewi mkuu uislam na siasa baba mmoja mama mmoja hujui kama kitabu kitukufu kinaongoza nchi kama katibatatizo la Hasan Ameir alikuwa anachanganya dini na siasa, na ndio waislam wengi wanavyofanya
Akashitaki mahakaman hao majaji wameteuliwa na nani?Hasan Ameir kama alikuwa hapendi dhulma angeenda kushtaki mahakamani, badala yake akawa anamponda Nyerere msikitini ili kumchonganisha na waislamu, ndio maana nyerere akamtimua nchini kwa uchonganishi
Duke...
tatizo la Hasan Ameir alikuwa anachanganya dini na siasa, na ndio waislam wengi wanavyofanya
Idadi yenyewe ya Waislamu Burundi sidhani kama inaushawishi wowote, ni wachache sana hata sasa. Mkuu, unaweza siku 1 ukaleta historia ya mzee yeyote ambaye sio wa dini yako katika wale wapigania uhuru? Kwenye maktaba yako naona unao wa dini moja tu
mzee utakosaje picha muhimu kabisa hiyo?Duke...
Sina picha hiyo na hiyo si nyumba ya Dossa bali ya baba yake Aziz Ali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu limejitosheleza hili mzee wangu.Mazindu...
Unakereka kusoma historia ya Sheikh Hassan bin Ameir, Iddi Faiz Mafungo, Sheikh Suleiman Takadir, Bi. Tatu bint Mzee, Mshume Kiyate, Abdallah na Maulid Kivuruga, Abdillah Schneider Plantan, Thomas Saudtz Plantan, Ramadhani Mashado Plantan, Sheikh Yusuf Badi, Yusuf Chembera, Msham Awadh, Zarula bint Abdulrahman...
Mimi nilipoona kuwa hawa wazalendo hawamo kwenye historia y TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika sikuwatafuta wana historia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wawaandike, nilinyanyua kalamu nikaandika historia zao.
Ikiwa wewe unao wapigania uhuru wa dini yako unaodhani mimi nimewafanyia khiyana kwa kutoandika historia zao basi nawe nyanyua kalamu.
Hapajatokea mwandishi hadi hivi sasa aliyeandika maisha ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa usahihi na umakini kunishinda na Nyerere si Muislamu, kiasi nimeihamasisha Kigoda Cha Mwalimu Nyerere chini ya Mwenyekiti wake Prof. Issa Shivji kutafiti maisha ya Mwalimu na kuandika kitabu.
Naingia Maktaba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jurjani,Jibu limejitosheleza hili mzee wangu.
Kwelo utu uzima dawa.
Dalmine,Machallah,,,Allah aendelee kukuongoza na azidi kukupa i'lmu mzee wetu na msomi wetu Mohamed Said
Waislam ndio waliogombania Uhuru kuwaondoa Wazungu katika Nchi za Afrika nyinyi chini ya jangwa la SaharaIdadi yenyewe ya Waislamu Burundi sidhani kama inaushawishi wowote, ni wachache sana hata sasa. Mkuu, unaweza siku 1 ukaleta historia ya mzee yeyote ambaye sio wa dini yako katika wale wapigania uhuru? Kwenye maktaba yako naona unao wa dini moja tu
Too theoretical to believeWaislam ndio waliogombania Uhuru kuwaondoa Wazungu katika Nchi za Afrika nyinyi chini ya jangwa la Sahara
Wakristo ilikuwa tabu na vigumu kwa wao kufanya hivyo kwa vile kwao wao Wazungu walikuwa karibu na Mungu,..
Picha ya Yesu mwenye macho ya bluu na nywele za njano ndio ilizowafanya waafrika waamini kuwa wazungu ni Waungu