Sheikh Hassan Bin Ameir (1880 - 1979) na Waislam wa Burundi

Laki...
Siwezi nikabishana na wewe kuhusu BAKWATA.

Kuna watu wawili tu nchi nzima ambao wametafiti historia ya BAKWATA nao ni Dr. Mayanja Kiwanuka (1973) na Mohamed Said (1989).

Unaweza ukawasoma wote wawili Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Dar es Salaam.

Wasome hawa kwanza uijue historia ya BAKWATA kisha In Shaa Allah rejea hapa ukiwa mjuzi wa unachojadili.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo la Hasan Ameir alikuwa anachanganya dini na siasa, na ndio waislam wengi wanavyofanya

Let me make it plain.

Dini ni siasa.

Dini ni siasa ya kale iliyovikwa joho la utakatifu wa Mungu asiyeweza kuthibitishika.

It's just identity politics.

Tafuta kitabu cha Francis Fukuyama kinaitwa "Identity: The Demand For Dignity And The Politics Of Resentment".

Especially chapter 7 "Nationalism amd Religion".

Kama hujakipata niambie nikutafutie na kukutumia.

Ukielewa hilo, utaelewa na kumaliza maliza migogoro mingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umefanya utafiti kabla ya kuandika hiki?
Idadi yenyewe ya Waislamu Burundi sidhani kama inaushawishi wowote, ni wachache sana hata sasa. Mkuu, unaweza siku 1 ukaleta historia ya mzee yeyote ambaye sio wa dini yako katika wale wapigania uhuru? Kwenye maktaba yako naona unao wa dini moja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu limejitosheleza hili mzee wangu.

Kwelo utu uzima dawa.
 
Idadi yenyewe ya Waislamu Burundi sidhani kama inaushawishi wowote, ni wachache sana hata sasa. Mkuu, unaweza siku 1 ukaleta historia ya mzee yeyote ambaye sio wa dini yako katika wale wapigania uhuru? Kwenye maktaba yako naona unao wa dini moja tu
Waislam ndio waliogombania Uhuru kuwaondoa Wazungu katika Nchi za Afrika nyinyi chini ya jangwa la Sahara

Wakristo ilikuwa tabu na vigumu kwa wao kufanya hivyo kwa vile kwao wao Wazungu walikuwa karibu na Mungu,..

Picha ya Yesu mwenye macho ya bluu na nywele za njano ndio ilizowafanya waafrika waamini kuwa wazungu ni Waungu
 
Too theoretical to believe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…