Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 3,289
- 5,964
Asalaam Aleykhum Warahmatulaah
Ndugu zangu, hasa Waislam wallah huyu Sheikh huwa ana Mawaidha ambayo yanaweza kukupa maswali mengi lakini mengi yaukweli ndani yake kwa kulingania na yaliyoandikwa katika Qur'an
LEO HII, Amesema kuwa endapo Viongozi wa Dini ya Kiislam watawataka Waumin wakutane pamoja ili kuliombea Taifa hasa katika awamu ya pili ya Rais WASIENDE wala WASIJITOKEZE
Madai yake ni kuwa Waislam ni Wanafiki kwakuwa wanakwenda kuliombea Taifa kipindi hiki lakini watu walipopatwa na Majanga kama ya vifo, Ushoga, Kamari na mengine hawajawahi kuitwa kuliombea Taifa
Sheikh HASSAN JAH, ametafsiriwa na wengi kuwa yupo Upande wa Wapinzani na Wananchi waliopoteza ndugu zao
ALLAH atuongoze katika tafsiri ya maagizo yake na kutuelekeza katika Usahihi wake