PostGE2025 Sheikh Hassan: Tusameheane na tusahau ya 2025 ikiwemo ya Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke, amewaomba Watanzania kuingia mwaka 2026 kwa kusameheana na kuachana na chuki, akisisitiza kuwa msamaha ni nguzo muhimu ya kudumisha amani, upendo na mshikamano wa kitaifa.

Akizungumza leo na Jambo TV, Sheikh Kabeke amesema mwaka 2025 umekuwa na matukio mbalimbali yaliyosababisha maumivu, vifo, majeraha na uharibifu wa mali, akitaja miongoni mwa siku hizo kuwa ni matukio ya Oktoba 29 na 30, hivyo kuwataka Watanzania kuyatafakari na kuyavuka kwa moyo wa msamaha wanapouaga mwaka huo na kuupokea mwaka 2026.

Amesema katika kipindi chote cha mwaka 2025, haiwezekani wananchi kupita bila kukwazana, kusuguana au kutofautiana, jambo ambalo kwa mujibu wake linapaswa kuhitimishwa kwa kusameheana badala ya kuendeleza visasi na migawanyiko.

“Nitumie nafasi hii kuwaomba Watanzania, mwaka 2025 una zaidi ya siku 300, hatuwezi kusema tuliupita wote bila kukwazana au kutofautiana, hasa yale ya Oktoba 29 na 30. Sio hayo tu, kwa yote yaliyotokea mwaka 2025, kila Mtanzania kwa imani yake atangaze msamaha,” amesema Sheikh Kabeke.

Aidha, amewataka Watanzania kuwaombea waliopoteza maisha katika matukio mbalimbali yaliyotokea ndani ya mwaka huo, akimuomba Mwenyezimungu awapokee marehemu na kuwapa faraja familia zilizofiwa.

Pia amewaombea waliopata majeraha au madhara ya kiafya, akisema wanapaswa kumuomba Mwenyezi Mungu awape uponyaji wa haraka, huku akiwataja pia waliopata hasara za mali na kuvurugikiwa shughuli zao za kiuchumi kuwa wanahitaji faraja na matumaini mapya.
 
Tupewe marehemu wetu kwanza tukawazike kwa heshima wanayostahili
1767267246991.jpg
 
Sio rahisi kama adhaniavyo!, damu ni nzito kuliko maji, watu wamewapoteza wapendwa wao hawawezi kukuelewa.
 
Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke, amewaomba Watanzania kuingia mwaka 2026 kwa kusameheana na kuachana na chuki, akisisitiza kuwa msamaha ni nguzo muhimu ya kudumisha amani, upendo na mshikamano wa kitaifa.

Akizungumza leo na Jambo TV, Sheikh Kabeke amesema mwaka 2025 umekuwa na matukio mbalimbali yaliyosababisha maumivu, vifo, majeraha na uharibifu wa mali, akitaja miongoni mwa siku hizo kuwa ni matukio ya Oktoba 29 na 30, hivyo kuwataka Watanzania kuyatafakari na kuyavuka kwa moyo wa msamaha wanapouaga mwaka huo na kuupokea mwaka 2026.

Amesema katika kipindi chote cha mwaka 2025, haiwezekani wananchi kupita bila kukwazana, kusuguana au kutofautiana, jambo ambalo kwa mujibu wake linapaswa kuhitimishwa kwa kusameheana badala ya kuendeleza visasi na migawanyiko.

“Nitumie nafasi hii kuwaomba Watanzania, mwaka 2025 una zaidi ya siku 300, hatuwezi kusema tuliupita wote bila kukwazana au kutofautiana, hasa yale ya Oktoba 29 na 30. Sio hayo tu, kwa yote yaliyotokea mwaka 2025, kila Mtanzania kwa imani yake atangaze msamaha,” amesema Sheikh Kabeke.

Aidha, amewataka Watanzania kuwaombea waliopoteza maisha katika matukio mbalimbali yaliyotokea ndani ya mwaka huo, akimuomba Mwenyezimungu awapokee marehemu na kuwapa faraja familia zilizofiwa.

Pia amewaombea waliopata majeraha au madhara ya kiafya, akisema wanapaswa kumuomba Mwenyezi Mungu awape uponyaji wa haraka, huku akiwataja pia waliopata hasara za mali na kuvurugikiwa shughuli zao za kiuchumi kuwa wanahitaji faraja na matumaini mapya.
Akasameheane na mkundv wa kahaba samia ,Watanganyika hawasamei useng€
 
Huyu naye ku#$+";&())($&"!$ma":!"(#)$(&+$("!""@#_+&('zake
 
Kusamehe ni jambo zuri sana na kila mtu anahimiza. Lakini siyo kwa mauaji ya kukusudia kama aliyofanya Samia. Ni lazima hatua za kisheria zichukuliwe kwa wauaji ndiyo mambo ya kusameheana yafuate
 
Watu 10,000
elfu kumi au
kumi elfu

Nisawa na
Kuuwa wanafunzi wa sekondari kubwa 10 ambayo Kila moja Ina wanafunzi 1000 hii ni zaidi ya sharpvile massacre!!!
 
Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke, amewaomba Watanzania kuingia mwaka 2026 kwa kusameheana na kuachana na chuki, akisisitiza kuwa msamaha ni nguzo muhimu ya kudumisha amani, upendo na mshikamano wa kitaifa.

Akizungumza leo na Jambo TV, Sheikh Kabeke amesema mwaka 2025 umekuwa na matukio mbalimbali yaliyosababisha maumivu, vifo, majeraha na uharibifu wa mali, akitaja miongoni mwa siku hizo kuwa ni matukio ya Oktoba 29 na 30, hivyo kuwataka Watanzania kuyatafakari na kuyavuka kwa moyo wa msamaha wanapouaga mwaka huo na kuupokea mwaka 2026.

Amesema katika kipindi chote cha mwaka 2025, haiwezekani wananchi kupita bila kukwazana, kusuguana au kutofautiana, jambo ambalo kwa mujibu wake linapaswa kuhitimishwa kwa kusameheana badala ya kuendeleza visasi na migawanyiko.

“Nitumie nafasi hii kuwaomba Watanzania, mwaka 2025 una zaidi ya siku 300, hatuwezi kusema tuliupita wote bila kukwazana au kutofautiana, hasa yale ya Oktoba 29 na 30. Sio hayo tu, kwa yote yaliyotokea mwaka 2025, kila Mtanzania kwa imani yake atangaze msamaha,” amesema Sheikh Kabeke.

Aidha, amewataka Watanzania kuwaombea waliopoteza maisha katika matukio mbalimbali yaliyotokea ndani ya mwaka huo, akimuomba Mwenyezimungu awapokee marehemu na kuwapa faraja familia zilizofiwa.

Pia amewaombea waliopata majeraha au madhara ya kiafya, akisema wanapaswa kumuomba Mwenyezi Mungu awape uponyaji wa haraka, huku akiwataja pia waliopata hasara za mali na kuvurugikiwa shughuli zao za kiuchumi kuwa wanahitaji faraja na matumaini mapya.
Hatuwezi kuwasamehe wauaji! Mnatumwa na muuaji Samia.
 
Nafikiri hayuko serious, kuna vitu huwa haviwezi kusahaulika. Lazima kuwe na uwajibikaji na haki itendeke vinginevyo tutatengeneza tatizo kubwa zaidi huko mbele
 
Walioua wanatakiwa kutoka hadharani, kukiri kuua, kutoa idadi ya waliowaua, kueleza wazi walikozitupa maiti, kueleza wazi waliowatuma kuua, kisha waombe msamaha ili wapewe adhabu ya huruma kama vile kifungo cha maisha badala ya kunyongwa hadi kufa, kama alivyohukumiwa yule Rais mwanamke muuaji Shekha wa Bangladesh. Amehukumiwa kunyongwa hadi kufa akiwa mafichoni Pakistan. Wa kwetu kifungo cha maisha kitatosha, kama wao walimwaga damu za wenzetu, sisi hatutapenda kuona damu zao zikimwagika, hata kama tunajua ni wauaji.
 
Akafundishe kujitoa mhanga huko msikitini aache kuongea ungese
 
Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke, amewaomba Watanzania kuingia mwaka 2026 kwa kusameheana na kuachana na chuki, akisisitiza kuwa msamaha ni nguzo muhimu ya kudumisha amani, upendo na mshikamano wa kitaifa.

Akizungumza leo na Jambo TV, Sheikh Kabeke amesema mwaka 2025 umekuwa na matukio mbalimbali yaliyosababisha maumivu, vifo, majeraha na uharibifu wa mali, akitaja miongoni mwa siku hizo kuwa ni matukio ya Oktoba 29 na 30, hivyo kuwataka Watanzania kuyatafakari na kuyavuka kwa moyo wa msamaha wanapouaga mwaka huo na kuupokea mwaka 2026.

Amesema katika kipindi chote cha mwaka 2025, haiwezekani wananchi kupita bila kukwazana, kusuguana au kutofautiana, jambo ambalo kwa mujibu wake linapaswa kuhitimishwa kwa kusameheana badala ya kuendeleza visasi na migawanyiko.

“Nitumie nafasi hii kuwaomba Watanzania, mwaka 2025 una zaidi ya siku 300, hatuwezi kusema tuliupita wote bila kukwazana au kutofautiana, hasa yale ya Oktoba 29 na 30. Sio hayo tu, kwa yote yaliyotokea mwaka 2025, kila Mtanzania kwa imani yake atangaze msamaha,” amesema Sheikh Kabeke.

Aidha, amewataka Watanzania kuwaombea waliopoteza maisha katika matukio mbalimbali yaliyotokea ndani ya mwaka huo, akimuomba Mwenyezimungu awapokee marehemu na kuwapa faraja familia zilizofiwa.

Pia amewaombea waliopata majeraha au madhara ya kiafya, akisema wanapaswa kumuomba Mwenyezi Mungu awape uponyaji wa haraka, huku akiwataja pia waliopata hasara za mali na kuvurugikiwa shughuli zao za kiuchumi kuwa wanahitaji faraja na matumaini mapya.
Faki this mazafaka!

Haikubaliki Samia The Killer kuua maelfu ya raia willfully na kisha kuanza kuwaambia watu eti “yaliyopita si ndwele…” Hatutaki huo upumbavu. Tunataka accountability kwanza!
 
Watu wanasahau MNAWAKUMBUSHIA tena shiitt..!!!🤨🤨🤨🤨
 
Back
Top Bottom