Yesu Kristo ni Mungu. Ni Neno la Munhu pia akapata mwili akakaa kwetu kwa hekima ya Mungu ambayo si wewe wala.mimi wala awaye yeyote anaweza kuifikia....
Wewe ndio unasema haya lkn Sio Andiko na kamwe Dio Yese mwenyewe.
BIBLIA INASEMA MUNGU SIO BINAADAMU.
Mungu sio mwanadamu’ (Hesabu 23:19)
Kwa maana mimi ni Mungu, wala sio mwanadamu’ (Hosea 11:9)
Yesu ni mwanadamu
mwanadamu Yesu Kristo ’ (Tim. 2:5)
ndivyo atakavyokuwa Mwana wa Adamu’ (
Mathayo 12:40)
‘Kwa maana Mwana wa Adamu atakuja’ (
Mathayo 16:27)
‘mpaka watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.’ (
Mathayo 28)
Biblia inasema kwamba Yesu alikana yeye ni Mungu
Yesu alizungumza na mtu aliyemuita ‘mwema,’ na kumuuliza, ‘Kwa nini unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu pekee yake.’ (Luka 18:19)
Naye akamwambia, ‘Kwa nini unaniuliza kuhusu lililo jema? Kuna Mmoja tu aliye mwema; bali kama ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri.’ (Mathayo 19:17)
Yesu hakuwafundisha watu kwamba yeye ni Mungu
Ikiwa Yesu alikuwa akiwaambia watu kwamba yeye ni Mungu, angali mpongeza mtu huyo. Badala yake, Yesu alimkemea, akakana kuwa yeye ni mwema, yaani, Yesu alikana kuwa yeye ni Mungu.
Biblia inasema kwamba Mungu ni mkuu kuliko Yesu
‘Baba yangu ni mkuu kuliko mimi’ (Yohana 14:28)
‘Baba yangu ni mkuu kuliko wote.’ (Yohana 10:29)
Yesu hawezi kuwa Mungu ikiwa Mungu ni mkuu kuliko yeye. Imani ya Kikristo kwamba Baba na mwana wako sawa ni kinyume kabisa na maneno yaliyo wazi kutoka kwa Yesu.
Kamwe Yesu hakuwaagiza wanafunzi wake wamuabudu
‘Mnaposali, semeni Baba Yetu uliye mbinguni.’ (Luka 11:2)
‘Siku hiyo hamtaniomba lolote. Mkiomba lolote kwa jina la Baba.’ (Yohana 16:23)
‘Saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo wanao abudu ukweli watamwabudu Baba katika roho na kweli; kwa maana Baba anawatafuta watu kama hao wamuabudu.’ (Yohana 4:23
YESU SIO MUNGU bali ni MTUME ALIYEKUJA Kwa ajili ya wana wa ISRAELI.