Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

Kama huamini yesu ni Mungu wewe sio mkristo
Soma biblia uelewe.
Mkristo yyt lzm aabudu binaadamu aitwae Yesu.
Binaadamu ambae alizaliwa.
Akala akaenda choo km mimi na wewe.
kinyume cha hapo wewe sio mkristo
Yesu Kristo ni Mungu. Ni Neno la Munhu pia akapata mwili akakaa kwetu kwa hekima ya Mungu ambayo si wewe wala.mimi wala awaye yeyote anaweza kuifikia....
 
Duu! kuna usalama kweli?
 
Huu ndo uislam na wewe ndo muislam
 
Ulitisha sana
 
Kumbe ni 2014? Ni kama juzi tu , nakumbuka kichangani but I arrived late
 
Yesu Kristo ni Mungu. Ni Neno la Munhu pia akapata mwili akakaa kwetu kwa hekima ya Mungu ambayo si wewe wala.mimi wala awaye yeyote anaweza kuifikia....
Wewe ndio unasema haya lkn Sio Andiko na kamwe Dio Yese mwenyewe.

BIBLIA INASEMA MUNGU SIO BINAADAMU.

Mungu sio mwanadamu’ (Hesabu 23:19)

Kwa maana mimi ni Mungu, wala sio mwanadamu’ (Hosea 11:9)

Yesu ni mwanadamu
mwanadamu Yesu Kristo ’ (Tim. 2:5)
ndivyo atakavyokuwa Mwana wa Adamu’ (Mathayo 12:40)

‘Kwa maana Mwana wa Adamu atakuja’ (Mathayo 16:27)

‘mpaka watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.’ (Mathayo 28)

Biblia inasema kwamba Yesu alikana yeye ni Mungu
Yesu alizungumza na mtu aliyemuita ‘mwema,’ na kumuuliza, ‘Kwa nini unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu pekee yake.’ (Luka 18:19)

Naye akamwambia, ‘Kwa nini unaniuliza kuhusu lililo jema? Kuna Mmoja tu aliye mwema; bali kama ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri.’ (Mathayo 19:17)

Yesu hakuwafundisha watu kwamba yeye ni Mungu
Ikiwa Yesu alikuwa akiwaambia watu kwamba yeye ni Mungu, angali mpongeza mtu huyo. Badala yake, Yesu alimkemea, akakana kuwa yeye ni mwema, yaani, Yesu alikana kuwa yeye ni Mungu.

Biblia inasema kwamba Mungu ni mkuu kuliko Yesu
‘Baba yangu ni mkuu kuliko mimi’ (Yohana 14:28)

‘Baba yangu ni mkuu kuliko wote.’ (Yohana 10:29)

Yesu hawezi kuwa Mungu ikiwa Mungu ni mkuu kuliko yeye. Imani ya Kikristo kwamba Baba na mwana wako sawa ni kinyume kabisa na maneno yaliyo wazi kutoka kwa Yesu.

Kamwe Yesu hakuwaagiza wanafunzi wake wamuabudu
‘Mnaposali, semeni Baba Yetu uliye mbinguni.’ (Luka 11:2)

‘Siku hiyo hamtaniomba lolote. Mkiomba lolote kwa jina la Baba.’ (Yohana 16:23)

‘Saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo wanao abudu ukweli watamwabudu Baba katika roho na kweli; kwa maana Baba anawatafuta watu kama hao wamuabudu.’ (Yohana 4:23

YESU SIO MUNGU bali ni MTUME ALIYEKUJA Kwa ajili ya wana wa ISRAELI.
 
Kama jinga[emoji1787]
 

hata hao wakristo hakuna anayegeuza shavu
 
Huyu Sheikh ni Shetani wa miguu 50,hata huko kuzimu alipokwenda hawamtaki sijui atakwenda wapi.
 
Usipate shida mkuu, msemo wa mfumokristo ni uzushi wa kijinga tu. Ni harakati ya watu wanaojitafutia ajira na kipato kupitia dini bila kujali madhara wanayosababisha kwa kuzua itikadi za kubuni ili kuwafariji wafuasi wao kutokana na dhiki ya maisha.
Mfumo Kristo mbaya sana.
1.Rais wa JMT mgalatia
2.Jaji Mkuu mgalatia
3.Waziri Mkuu Mgalatia
4.Rais wa Zanzibar Mgalatia
5.Mkuu wa TISS Mgalatia
6.Mwenyekiti wa CCM Mgalatia
7.Makamu Mwenyekiti Mgalatia

Wazushi,Wahuni,Wapumbavu,Wajinga & Wapuuzi wote wanaoshabikia nadharia za mfumo Kristo wakati huu wametulia wanasubiri zamu ya Swala tano zipite waanze kubwabwaja.
 
Shukran Mzee wetu Mohammed Bin Saeed kwa tanzia hii, Allah akulipe!

Hakika jiji la darussalaam ni jiji la waislamu, huwa nikifika Darussalaam yaa sheikhuna, Zanzibar na pwani kwa ujumla najihisi kama nipo Islamic countries, nnakua na amani maashallah! niliwahi kwenda lushoto kule napishana na waislamu wengine wamevaa kanzu na vilemba/kofia, wasio waislamu ni wachache sana kule.


I'm so proud to be a Muslim, al hamdu liLlah
 
Nimependa sikiliza hotuba zake huyo bwana ni mtu tapeli na muongo kama mzee mmoja humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…