PreGE2025 TANZIA Sheikh Jabir Haidar akutwa amefariki Bumbwisudi, chanzo cha Kifo bado kitendawili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Alieleta hii habari karuka ruka kaelezea kama vile watu wote humu JF tunamfahamu huyo sheikh, watu kuuwawa kihivyo hio mbona ipo duniani kote ie kuna sheikh aliuliwa South Africa . Angemueleza kisiasa hapo sasa ndio tungeanza kuchakata issue. Innallillah wainaillah rajioun.
 
Ebu mwenye hiyo minong'ono mingi aiweke hapa tuipime maana wasije zusha kwamba ni chadema.
 
Kuna clip yake ilitembea wiki kadhaa alikua anazungumzia ishu ya waislamu kukalia kimya haya mambo, akasema wenzetu wanapaza sauti (akimaanisha maaskofu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…