PreGE2025 TANZIA Sheikh Jabir Haidar akutwa amefariki Bumbwisudi, chanzo cha Kifo bado kitendawili

PreGE2025 TANZIA Sheikh Jabir Haidar akutwa amefariki Bumbwisudi, chanzo cha Kifo bado kitendawili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kweli,lakini kuna ki2 nina wasiwasi nacho shehe mzima anaishi bila mke???kweli!!! alafu anaishi na kijana mmoja???,jamani sio kila mauaji ni ya kisiasa,,hisia zangu zinaniambia alikuwa BASHA{sina uhakika}...sasa waislam wenzake wenye kumuabudu ALLAH kwa haki,wakampeleka kwa ALLAHA akapate hukumu yake{narudia tena SINA UHAKIKA]

Mmmhh!

Conspiracy theorist!
 
Sheikh Jabir ni nani? Alikuwa ana mitizano ktk mahubir yake? Tuanzie hapo kwanza ndio nitawatajia aliyemuua
 
Inawezekana kinaandaliwa kifo cha mtu mmoja special kutoka kwenye hizi taasisi za kidini anaeonekana msumbufu wa kutingisha meza ya walaji ili ionekane mbona hata yule aliuawa na kwamba ni mambo ya kawaida ya kimaisha watu wasi-panic.
Umenifurahisha na neno ".kutingisha meza ya walaji"
 
Back
Top Bottom