PreGE2025 TANZIA Sheikh Jabir Haidar akutwa amefariki Bumbwisudi, chanzo cha Kifo bado kitendawili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Si kila anayeuawa anakuwa na majeraha. Hata kuwekewa mto usoni kwa muda wa kutosha kunaweza kukatisha uhai. Kuna kupuliziwa sumu.
 
sh
 
Si kila anayeuawa anakuwa na majeraha. Hata kuwekewa mto usoni kwa muda wa kutosha kunaweza kukatisha uhai. Kuna kupuliziwa sumu.
kweli,lakini kuna ki2 nina wasiwasi nacho shehe mzima anaishi bila mke???kweli!!! alafu anaishi na kijana mmoja???,jamani sio kila mauaji ni ya kisiasa,,hisia zangu zinaniambia alikuwa BASHA{sina uhakika}...sasa waislam wenzake wenye kumuabudu ALLAH kwa haki,wakampeleka kwa ALLAHA akapate hukumu yake{narudia tena SINA UHAKIKA]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…