John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
kweli,lakini kuna ki2 nina wasiwasi nacho shehe mzima anaishi bila mke???kweli!!! alafu anaishi na kijana mmoja???,jamani sio kila mauaji ni ya kisiasa,,hisia zangu zinaniambia alikuwa BASHA{sina uhakika}...sasa waislam wenzake wenye kumuabudu ALLAH kwa haki,wakampeleka kwa ALLAHA akapate hukumu yake{narudia tena SINA UHAKIKA]
hakuna haja ya kubabaika gentleman,Angalizo:
"Kuna kuonja na kuonjeshwa, mawili haya ni tofauti."
Umenifurahisha na neno ".kutingisha meza ya walaji"Inawezekana kinaandaliwa kifo cha mtu mmoja special kutoka kwenye hizi taasisi za kidini anaeonekana msumbufu wa kutingisha meza ya walaji ili ionekane mbona hata yule aliuawa na kwamba ni mambo ya kawaida ya kimaisha watu wasi-panic.
Kwa wazanzibari ni marudio.Hatimae wazanzibari nanyie mmefikiwa.