Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 28 Februari, 2020 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Msikiti mkubwa wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) unaojengwa Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

Msikiti huo unajengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohammed VI wa Morocco baada ya kuombwa na Mhe. Rais Magufuli alipofanya ziara rasmi hapa nchini Oktoba 2016.

Akiongozwa na Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir bin Ally, Mhe. Rais Magufuli amejionea kazi za ukamilishaji wa jengo jipya la Msikiti na jengo la ofisi ya Taasisi ya Mfalme Mohammed VI wa Morocco zikiendelea kukamilishwa, na ameelezea kufurahishwa kwake na ubora na uzuri wa Msikiti huo.

Mhe. Rais Magufuli amemshukuru Mfalme Mohammed VI wa Morocco kwa kutekeleza ombi alilomuomba la kuwajengea Waislamu Msikiti mkubwa kuliko yote hapa nchini, na amempongeza Mufti wa Tanzania na Waislamu wote kwa kujengewa nyumba nzuri ya Ibada.

Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir bin Ally amemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa kuwajali Waislamu na kuwaombea msaada wa kujengewa Msikiti huo ambao ujenzi wake umefikia asilimia 97.

Akiwa na viongozi wenzake wa BAKWATA, Sheikh Mkuu Aboubakar Zubeir bin Ally ameongoza Dua ya kumuombea Mhe. Rais Magufuli na kuliombea Taifa ili Mwenyezi Mungu aiepushe Tanzania dhidi ya maradhi ya homa ya virusi vya corona, kudumisha amani na utulivu na kuombea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu ufanyike vizuri na kwa amani.
Wewe ni mufti wa wapi? Kwa hiyo na wewe unaamini huu upuuzi?
 
Kwenye uislamu tunaamini misikiti yote ni ya Allah.

As long as unaswaliwa na waislamu hayo mengine hayana haja ya kujua.
Hapana Dr ule msikiti kajenga JK Magu kalazimisha.Walah hata hii funga iwe bureeee.

Alisikika Sheikh ubwabwa mvaa makubazi mpaka ina ndevu akibwabwa huku mijimate ikimtoka bila utaratibu.
 
shehe aache uongo. mfalme wa 6 wa Morocco alitembelea Tanzania october mwaka 2016, je mwaka huo rais alikuwa kikwete ?

ukweli ni kwamba ujenzi wa msikiti uliombwa kwa mfalme huyo baada ya kufika Tanzania.

Hata kama huyo mzee hampendi magufuli. teknolojia haidanganyi.. tazameni video wenyewe mumuone mfalme mwenyewe wa morocco anavyokubali kwa JPM

View attachment 2945127
Wakirudi nishtue...
 
A
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 28 Februari, 2020 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Msikiti mkubwa wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) unaojengwa Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

Msikiti huo unajengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohammed VI wa Morocco baada ya kuombwa na Mhe. Rais Magufuli alipofanya ziara rasmi hapa nchini Oktoba 2016.

Akiongozwa na Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir bin Ally, Mhe. Rais Magufuli amejionea kazi za ukamilishaji wa jengo jipya la Msikiti na jengo la ofisi ya Taasisi ya Mfalme Mohammed VI wa Morocco zikiendelea kukamilishwa, na ameelezea kufurahishwa kwake na ubora na uzuri wa Msikiti huo.

Mhe. Rais Magufuli amemshukuru Mfalme Mohammed VI wa Morocco kwa kutekeleza ombi alilomuomba la kuwajengea Waislamu Msikiti mkubwa kuliko yote hapa nchini, na amempongeza Mufti wa Tanzania na Waislamu wote kwa kujengewa nyumba nzuri ya Ibada.

Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir bin Ally amemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa kuwajali Waislamu na kuwaombea msaada wa kujengewa Msikiti huo ambao ujenzi wake umefikia asilimia 97.

Akiwa na viongozi wenzake wa BAKWATA, Sheikh Mkuu Aboubakar Zubeir bin Ally ameongoza Dua ya kumuombea Mhe. Rais Magufuli na kuliombea Taifa ili Mwenyezi Mungu aiepushe Tanzania dhidi ya maradhi ya homa ya virusi vya corona, kudumisha amani na utulivu na kuombea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu ufanyike vizuri na kwa amani.
Akiogopa
 
Hapa naona kabisa ........kuna kiumbe anakaza fuvu na makalio kwenye kubisha jpm hajaujenga ule msikiti........au alitaka auze kahawa yeye pale msikitini?
 
Makonda atoke kwenye hadhara ampinge Sheikh. Ukiona mpaka yupo kimya ujue msikitini kaomba Kikwete
 
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane...
Sasa hapo mnajichanganya, alipokuja huyo Mfalme wa Morocco,wengi tulimsikia Magufuli akiomba tujengewe msikiti na kiwanja cha mpira Dodoma.

Sasa mbona kwenye majibu ya huyo Mfalme kwenye suala la msikiti hakusema alishaambiwa na Kikwete na analijua!

Lakini la ajabu ni kweli kwa wingi wa matajiri wa kiislamu nchi hii walikuwa na sababu ya kuomba kujengewa msikiti?
 
Sasa hapo mnajichanganya,alipokuja huyo Mfalme wa Morocco,wengi tulimsikia Magufuli akiomba tujengewe msikiti na kiwanja cha mpira Dodoma. Sasa mbona kwenye majibu ya huyo Mfalme kwenye suala la msikiti hakusema alishaambiwa na Kikwete na analijua!!
Lakini la ajabu ni kweli kwa wingi wa matajiri wa kiislamu nchi hii walikuwa na sababu ya kuomba kujengewa msikiti???
Tushauri uongozi wa Bakwata ufunge mjadala huu ili tuendelee na mambo mengine.
 
Sasa hapo mnajichanganya,alipokuja huyo Mfalme wa Morocco,wengi tulimsikia Magufuli akiomba tujengewe msikiti na kiwanja cha mpira Dodoma. Sasa mbona kwenye majibu ya huyo Mfalme kwenye suala la msikiti hakusema alishaambiwa na Kikwete na analijua!!
Lakini la ajabu ni kweli kwa wingi wa matajiri wa kiislamu nchi hii walikuwa na sababu ya kuomba kujengewa msikiti???

Msikiti wenyewe thamani yake ni milioni 300. Ila mpaka waombe eti
 
Back
Top Bottom