Kobe la Makobe
Senior Member
- Feb 3, 2024
- 127
- 142
Kwani kushukuru ni kitu gani babu? Kuna time mvua alikata kabisa ila ilivyoanza kunyesha akashukuriwa JP, so hayo yalikuwa ni mambo ya kawaida kwenye utawala ule
Wewe ni mufti wa wapi? Kwa hiyo na wewe unaamini huu upuuzi?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 28 Februari, 2020 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Msikiti mkubwa wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) unaojengwa Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Msikiti huo unajengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohammed VI wa Morocco baada ya kuombwa na Mhe. Rais Magufuli alipofanya ziara rasmi hapa nchini Oktoba 2016.
Akiongozwa na Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir bin Ally, Mhe. Rais Magufuli amejionea kazi za ukamilishaji wa jengo jipya la Msikiti na jengo la ofisi ya Taasisi ya Mfalme Mohammed VI wa Morocco zikiendelea kukamilishwa, na ameelezea kufurahishwa kwake na ubora na uzuri wa Msikiti huo.
Mhe. Rais Magufuli amemshukuru Mfalme Mohammed VI wa Morocco kwa kutekeleza ombi alilomuomba la kuwajengea Waislamu Msikiti mkubwa kuliko yote hapa nchini, na amempongeza Mufti wa Tanzania na Waislamu wote kwa kujengewa nyumba nzuri ya Ibada.
Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir bin Ally amemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa kuwajali Waislamu na kuwaombea msaada wa kujengewa Msikiti huo ambao ujenzi wake umefikia asilimia 97.
Akiwa na viongozi wenzake wa BAKWATA, Sheikh Mkuu Aboubakar Zubeir bin Ally ameongoza Dua ya kumuombea Mhe. Rais Magufuli na kuliombea Taifa ili Mwenyezi Mungu aiepushe Tanzania dhidi ya maradhi ya homa ya virusi vya corona, kudumisha amani na utulivu na kuombea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu ufanyike vizuri na kwa amani.
Muulize Tundu Lissu.Kwa nini hawakuyasema msukuma akiwa hai, kama wao ni vidume! Wanafiki wakubwa, walijichekesha tu kama demu kaona iphone 15! Nguruwe poli
Ahahahah watu mna data (deita) ahahah dah! Hichi kishekh ni kipashukuna kimoja tu!
Kwenye uislamu tunaamini misikiti yote ni ya Allah.
As long as unaswaliwa na waislamu hayo mengine hayana haja ya kuKwamba
Hapana Dr ule msikiti kajenga JK Magu kalazimisha.Walah hata hii funga iwe bureeee.Kwenye uislamu tunaamini misikiti yote ni ya Allah.
As long as unaswaliwa na waislamu hayo mengine hayana haja ya kujua.
Wakirudi nishtue...shehe aache uongo. mfalme wa 6 wa Morocco alitembelea Tanzania october mwaka 2016, je mwaka huo rais alikuwa kikwete ?
ukweli ni kwamba ujenzi wa msikiti uliombwa kwa mfalme huyo baada ya kufika Tanzania.
Hata kama huyo mzee hampendi magufuli. teknolojia haidanganyi.. tazameni video wenyewe mumuone mfalme mwenyewe wa morocco anavyokubali kwa JPM
View attachment 2945127
Wenye msikiti wamesema leoNdugu Zangu Katika Imani Tuache Unafk Mwezi Huu
Jiwe Akiwa Hai Alisema Wazii AliwAombe Mjengewe Msikiti
JPM alifanikisha ujenzi wa huo msikiti, tusidanganyane.
AkiogopaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 28 Februari, 2020 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Msikiti mkubwa wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) unaojengwa Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Msikiti huo unajengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohammed VI wa Morocco baada ya kuombwa na Mhe. Rais Magufuli alipofanya ziara rasmi hapa nchini Oktoba 2016.
Akiongozwa na Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir bin Ally, Mhe. Rais Magufuli amejionea kazi za ukamilishaji wa jengo jipya la Msikiti na jengo la ofisi ya Taasisi ya Mfalme Mohammed VI wa Morocco zikiendelea kukamilishwa, na ameelezea kufurahishwa kwake na ubora na uzuri wa Msikiti huo.
Mhe. Rais Magufuli amemshukuru Mfalme Mohammed VI wa Morocco kwa kutekeleza ombi alilomuomba la kuwajengea Waislamu Msikiti mkubwa kuliko yote hapa nchini, na amempongeza Mufti wa Tanzania na Waislamu wote kwa kujengewa nyumba nzuri ya Ibada.
Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir bin Ally amemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa kuwajali Waislamu na kuwaombea msaada wa kujengewa Msikiti huo ambao ujenzi wake umefikia asilimia 97.
Akiwa na viongozi wenzake wa BAKWATA, Sheikh Mkuu Aboubakar Zubeir bin Ally ameongoza Dua ya kumuombea Mhe. Rais Magufuli na kuliombea Taifa ili Mwenyezi Mungu aiepushe Tanzania dhidi ya maradhi ya homa ya virusi vya corona, kudumisha amani na utulivu na kuombea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu ufanyike vizuri na kwa amani.
Makonda atoke kwenye hadhara ampinge Sheikh. Ukiona mpaka yupo kimya ujue msikitini kaomba KikweteHapa naona kabisa ........kuna kiumbe anakaza fuvu na makalio kwenye kubisha jpm hajaujenga ule msikiti........au alitaka auze kahawa yeye pale msikitini?
Tukitaja legacy ya jpm makonda anakujaje tena? Au na wewe zombiMakonda atoke kwenye hadhara ampinge Sheikh. Ukiona mpaka yupo kimya ujue msikitini kaomba Kikwete
Sasa hapo mnajichanganya, alipokuja huyo Mfalme wa Morocco,wengi tulimsikia Magufuli akiomba tujengewe msikiti na kiwanja cha mpira Dodoma.Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane...
Tushauri uongozi wa Bakwata ufunge mjadala huu ili tuendelee na mambo mengine.Sasa hapo mnajichanganya,alipokuja huyo Mfalme wa Morocco,wengi tulimsikia Magufuli akiomba tujengewe msikiti na kiwanja cha mpira Dodoma. Sasa mbona kwenye majibu ya huyo Mfalme kwenye suala la msikiti hakusema alishaambiwa na Kikwete na analijua!!
Lakini la ajabu ni kweli kwa wingi wa matajiri wa kiislamu nchi hii walikuwa na sababu ya kuomba kujengewa msikiti???
Sasa hapo mnajichanganya,alipokuja huyo Mfalme wa Morocco,wengi tulimsikia Magufuli akiomba tujengewe msikiti na kiwanja cha mpira Dodoma. Sasa mbona kwenye majibu ya huyo Mfalme kwenye suala la msikiti hakusema alishaambiwa na Kikwete na analijua!!
Lakini la ajabu ni kweli kwa wingi wa matajiri wa kiislamu nchi hii walikuwa na sababu ya kuomba kujengewa msikiti???
Shujaa ni Hanspope, Hamza na Lissu. Tu.πππ
Wanazidi kujivuruga
Shujaa aliwapenda sana Waislam wachamungu