Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Kikwete ndie Rais pekee katika historia ya nchi hii.alietuachia DARAJA la malipo.
Mtanzania ili uende au kutoka Bagamoyo kupitia njia ya Mji mwema!
Lazima ulipie kupita lile daraja la kifisadi la Kikwete!
Over!
Daraja linaitwaje hilo
 
Mkuu unamaanisha Rais wa kikristo pekee ndio waliofanya la maana nchi hii???

Kwamba Rais wa kikristo ndio walio weka legacy isiyohamishika pekee???

Kwamba Rais Wakristo ndio wenye legacy ya kustahili kukumbukwa???

Kwamba, kwa kuwa Rais Mwinyi na Jakaya ni waislamu hawakufanya chochote cha kuhamishika, kuonekana na kukumbukwa???

Kwamba, kwa kuwa Rais aliyepo ni muislamu hata fanya lolote la maana???

Ndugu Voicer umemaanisha nini haswa???

Tuambie mkuu!
 
Kikwete ndie Rais pekee katika historia ya nchi hii.alietuachia DARAJA la malipo.
Mtanzania ili uende au kutoka Bagamoyo kupitia njia ya Mji mwema!
Lazima ulipie kupita lile daraja la kifisadi la Kikwete!
Over!
💩
 
Mkuu ni nini alichofanya Mwendazake ambacho ni cha bure??? Yaani bila kulipia kabisa!!!
 
Mkuu kwani Jakaya ndio kaongea hayo, unachanganya habari. Shekhe aongee yeye umlaumu Jakaya!! Ama kweli chuki ni mbaya!
 
Na ile video ya mkutano wa Ikulu kati ya JPM na Mfalme wa Morroco JPM akiomba kujengewa msikiti mkubwa na Mfalme akakubali nayo unaizungumziaje!? Kwanini mnakuwa na chuki kwa Wakristo wema kiasi hicho? Shida ni Ukristo wake au mmekubali kutumiwa na wanasiasa kuchafua sifa njema za marehemu? Mtashindana naye sana lakini hata nusu ya mvuto aliokuwa nao JPM kwa wananchi hamtaifikia. Hilo la msikiti liko wqzi kabisa na kumbukumbu zipo lakini mmeamua kulipindisha! Vipi kwa mengine ambayo hayaonekani kwa macho!? Sasa naanza kuamini kuwa Bakwata ni tawi la MCC
 
Huo ni unafiki kwanini hakusema wakati magufuli yupo hatuwezi kusikiliza maneno ya upande mmoja tu kama kwenye kanga angesema na Magufuli yupo ili tusikie naye atasemaje hapo mzee umefeli pakubwa sanaaaaaaaaaa
Waislam mtaacha lini chuki dhidi ya wakristo?papa alipokuja Tz mliomba vipaza sauti. Vilipoletwa mlipokea kisha mkasema mmenunua.
 
Mm nadhani tuendelee na juhudi ya kufuta yote mema yaliyoasisiwa na JPM maana ndio mkakati mkuu.
Mema Gani??
Huyu Dikteta aliwaharibu sana KIFIKRA na itachukua muda kuwarudisha kwenye akili zenu. Tatizo 90% ya Watanzania ni wajinga na walikuwa ndiyo mtaji wa Magufuli
 
Mema Gani??
Huyu Dikteta aliwaharibu sana KIFIKRA na itachukua muda kuwarudisha kwenye akili zenu. Tatizo 90% ya Watanzania ni wajinga na walikuwa ndiyo mtaji wa Magufuli
Wewe ni miongoni mwa wale vipofu msioona jema lolote la Magufuli.
 
Mambo mengine ni ya kipumbavu,ni kuwaachia hao wapumbavu,wafanye upumbavu wao wa kipumbavu.
 
Nitajie mema matatu tu halafu nikujibu
Ajabu sana, wewe ni chawa wa hovyo kabisa.

Eti "mema matatu tu"

Nyie wapuuzi ndio mnaamini mpaka taarifa za uongo ilimradi mumseme vibaya Magufuli, ajabu mnaendelea kuamini huo uongo hata pale teknolojia inapowaumbua, mko cheap sana!.
 
magufuli hajaomba msikiti huo tu,mpk dodoma aliwaomba musijaze chuki na hata angekuwa hataki kujengwa usingejengwa.
 
Ajabu sana, wewe ni chawa wa hovyo kabisa.

Eti "mema matatu tu"

Nyie wapuuzi ndio mnaamini mpaka taarifa za uongo ilimradi mumseme vibaya Magufuli, ajabu mnaendelea kuamini huo uongo hata pale teknolojia inapowaumbua, mko cheap sana!.
Acha mbambamba yaseme kama yapo!! Mlijazwa ujinga na propaganda akiwa hai na bado hamjashituka.

Waislamu wamekataa kuhusu Magufuli kuwa na mchango kwenye msikiti wao, wewe unaona wanamchafua.

Yaani BRAINWASH aliyowapiga nyie ni ya hatari sana. Sijui aliondoka na akili zenu akaaacha kama MISUKULE??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…