Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Mwamba kakaa madarakani kwa miaka 6 tu ila ameacha kazi sana nyuma yake. Imeshapita miaka mitatu tangu kifo chale lakini kila kukicha watu wanahangaika kufuta kazi zake.
Kikwete kakaa madarakani miaka 10 huo Msikiti hakuomba wala haikujulikana.
Kumbukumbu itawekwa misikitini na kwenu mnaopambana na aliyekufa.
Lakini historia itabaki katika kumbukumbu kwa maandishi na video za wakati wa uhai wake.
 
huo ni unafiki kwanini hakusema wakati magufuli yupo hatuwezi kusikiliza maneno ya upande mmoja tu kama kwenye kanga angesema na magufuli yupo ili tusikie naye atasemaje hapo mzee umefeli pakubwa sanaaaaaaaaaa

wewe unahisi angeweza kusema wakati wa magufuli? Ingelikuwa wewe je ungeweza?
 
Nafikiri kama Taifa tuna tatizo zito linalofukuta na kuna watu wanachochea. Shekhe kusimama msikitini kuongea haya leo nini anatafuta?

Anyway, muda ni mwalimu mzuri.
Kuna watu hii Nchi wana upeo finyu sana wa kufikiri. Naamini ile nafasi ya kuwa Rais wa kwanza wa Tanzania ingekaliwa na watu hao, leo hii Tanzania ingekua inaongozwa kidini.
Kuna mmoja humu ukiona katupia uzi jua anafuta yaliyofanywa na watu wa imani yake ili ionekane watu wa imani yake ndio bora sana.
 
Hawa nao wajaribu kuficha upumbavu wao hata kidogo Magufuli aliomba huo msikiti tena akathibitisha mbele ya waandishi wa habari na mfalme wa Morocco akiwepo alafu hako kazee shenzi zake bila hata aibu kana apia kabisa na wakati kanasema uongo, ndio hawa wanaojiita dini ya kweli wanadanganya huku wame jishindisha njaa kwamba wamefunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…