Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Tafuta kazi za kufanya , Magufuli lin alisema ni msikitini wake ?
Magufuli ni msikiti wa Dodoma .
Magufuli ni msikiti wa Dodoma .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo mdogo tu. Mpaka kuna siku tutajua alivyogushi ule udaktari wake ambao Ben Saanane alihoji na akauwa!Alikuwa ni mtu wa kulazimishia point za mezani ili kuteka wajinga.
Wazo/Maoni (Kiswahili sahihi dira) lilianza mwaka 2010 wakati wa kampeni na Jakaya aliahidi kujenga hiyo reli. Ikafanyiwa upembuzi yakinifu wakati huo na ikapnangwa kuzinduliwa September 2015 KABLa ya Magufuli kuingia madarakani. Na mpango wa awali ilikuwa ni kuipa China Construction tenda na wafadhili walikuwa Exim bank - China. Baadae mkopo ukachukuliwa toka Exim Bank - Turkey na ujenzi wakapewa Waturuki.Tunapoongea tunaongea kuhusu mleta maono!
Wewe unaleta Porojo za Uchawa.
Hawa wanafanya muendelezo wa wazo la JPM na hata Samia anaongea hivyo.
Who are you out there kuja kupinga???
View: https://m.youtube.com/watch?v=cQtjiGMA5h8
Kwa hivyo hapo wakati JPM anaeleza mbele ya mfalme mwenyewe kamuomba ajenge msikiti Dar na mfalme kusema kakubali ataanza ujenzi mara moja mbele ya dunia ilikuwa cinema tu.
Mbona huyo mfalme hatukumuona akija wakati wa JK.
Mpe mtu sifa zake, yaani binadamu yoyote muungwana awezi pokea credit ambazo sio zake, hata ‘bi tozo’ siku alipoenda JNHPP Makamba na Chande walimpamba we kwa ujenzi wa bwawa, aliposhika tu kipaza sauti akawaambia wananchi anaestahili pongezi zaidi za mradi ni hayati sio yeye.
Hivi unawezaje kuishi na amani kwa kuchukua credit ambazo sio zako, au unapungukiwa nini kwenye maisha yako kumpa mtu credit zake hata kama umkubali.
Wazungu wanamsemo ‘kama una jambo jema la kumsemea mtu ni bora usimuongelee kabisa’.
Hizi chuki za Magufuli kwa watu wengine ni mental issues sasa, hata Lissu aliepewa majeraha awamu ya tano pamoja na kumponda Magufuli kila siku, lakini kuna wasaa mafanikio yake atasema hilo ni la Magufuli si la hawa wa Sasa.
Uwezi kumchukia mtu hivyo especially marehemu hiyo ni psychological problem sasa.
Mashehe wako Iran na AfghanistanMimi namnukuu Sheikh, anasema bila woga wala unafiki
Hao jamaa ukiwapatia uhakika wa ubwabwa tu wanaweza kubwabwaja lolote.
Ni hatari sanaHeee legacy inazidi kutiwa dosari na kasoro
Mwezi wa Mungu unaendeleaView attachment 2945052
Wakuu,
Mwenzenu naona aibu sana. Jinsi Magufuli alivyokuwa akijitapa mara atembelee Msikiti huku kavaa Kanzu, Mara amtume Makonda, mara aipige biti. Nimeona aibu sana kwa jinsi alivyokuwa akijitapa.
Kuna siku alisema eti, Mfalme wa 6 wa Morocco alipokuakuja nikamuomba Msikiti. "Akashangaa ananiangalia machoni", nikamuuliza nini? Akasema nimeshangaa Mkristo unaomba Msikiti.
Sasa BAKWATA Wamevunja ukimya na kuweka Kumbukumbu sawa.
Wamesema aloomba Msikiti ni Jakaya Kikwete. Magufuli alikuwa anafanya siasa tu.
View attachment 2945053
Sasa kwanini Hayati Magufuli atafute kiki kwa Msikiti badala ya Makanisa?
Mimi niliikuwa nashangaa. Mafuli awe na moyo wa kuomba Msikiti halafu Watu kila siku watekwee na kupotea?
Asante sana BAKWATA. Sasa nimeanza kuwqamini.
TAKBIR.
Kwa ivyo huyo interpreter wa kifaransa alikuwa na anawapigia makelele tu hiyo hadhara kila Magufuli akimaliza kuongea.JPM alikuwa anaongea kiswahili, Mfalme wa Morroco hakuelewa anachosema, angeelewa angemuumbua pale pale jukwaani
Sasa kweli limsikiti magufuli nalo sifa au kuna mambo ya sifa ila sio msikiti la nini....kuna shule kuna hospital kuna madaraja kuna vitu vya maana sasa limskiti si hata ingekuwa kanisa lina maana gani katika maendeleo ya africa zaidi ya kujazana maujinga tuView attachment 2945052
Wakuu,
Mwenzenu naona aibu sana. Jinsi Magufuli alivyokuwa akijitapa mara atembelee Msikiti huku kavaa Kanzu, Mara amtume Makonda, mara aipige biti. Nimeona aibu sana kwa jinsi alivyokuwa akijitapa.
Kuna siku alisema eti, Mfalme wa 6 wa Morocco alipokuakuja nikamuomba Msikiti. "Akashangaa ananiangalia machoni", nikamuuliza nini? Akasema nimeshangaa Mkristo unaomba Msikiti.
Sasa BAKWATA Wamevunja ukimya na kuweka Kumbukumbu sawa.
Wamesema aloomba Msikiti ni Jakaya Kikwete. Magufuli alikuwa anafanya siasa tu.
View attachment 2945053
Sasa kwanini Hayati Magufuli atafute kiki kwa Msikiti badala ya Makanisa?
Mimi niliikuwa nashangaa. Mafuli awe na moyo wa kuomba Msikiti halafu Watu kila siku watekwee na kupotea?
Asante sana BAKWATA. Sasa nimeanza kuwqamini.
TAKBIR.
Hapo bakwata kwenye kuna ofisi mpaka leo wao hawajamalizaKwa ivyo huyo interpreter wa kifaransa alikuwa na anawapigia makelele tu hiyo hadhara kila Magufuli akimaliza kuongea.
Isitoshe kuna video zingine za Magufuli akiwaongezea hela cash hao BAKWATA wamalize msikiti kama tsh 100 kama sikosei.
Watu wengine hata sijui huwa wanafungia nini.