Sasa wewe hii itakusaidia kitu gani, hebu tueleze.Wenye dini yao unawabishia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe hii itakusaidia kitu gani, hebu tueleze.Wenye dini yao unawabishia?
Ukiwa rais kwenye nchi hii unaweza kufanya chochote. Umesahau magufu alipokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi huko Arusha, huku jeshi likiwa limetengwa kabisa na siasa kikatiba?Unaweza kulazimisha kuingia Msikitini ilhali wewe siyo Islam?
Hawana shukrani tu John ndiye aliwapigia pandeDunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.
Iwe bhojo!
View attachment 2945023
Shujaa anazidi kupaishwa juu na legacy yake !😂
Sasa Shujaa Magufuli aliingiaje Ndani ya huo msikiti na kuagiza AC ziongezwe nk nk?!🐼
Jeshi gani lililotengwa na Siasa?Ukiwa rais kwenye nchi hii unaweza kufanya chochote. Umesahau magufu alipokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi huko Arusha, huku jeshi likiwa limetengwa kabisa na siasa kikatiba?
Hata kwenye dini wanafiki na wasakatonge wapo kwanini hakuongea hayo na kumkemea JPM aache kudanganya?Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.
Iwe bhojo!
View attachment 2945023
😂😂😂Shujaa anazidi kupaishwa juu na legacy yake !
Ni bora wangemuacha tu. !
Eti ilikuwa ni jitihada za JK ! Duh 🙄 !
Kwani sisi ni wageni kwenye Nchi hii ???!!
Hakika , hadi napata wasiwasi ujio wa cdefu beyo huenda ni njama, maana mambk yapo kasi sanaNaona awamu ya 6 mpinzani wake mkuu ni Marehemu. Aisee....
Wanafiki huwa hawakawii kubadilika !!Hawana shukrani tu John ndiye aliwapigia pande
Wasaka tonge Jazz Band 🤣🤣🙏🙏💰Hata kwenye dini wanafiki na wasakatonge wapo kwanini hakuongea hayo na kumkemea JPM aache kudanganya?
Mada iko page ya 5 😂😂😂😂Heee legacy inazidi kutiwa dosari na kasoro
acheni unafiki huo huyo mzee kakosa la kusema kwanini hakusema wakati yupo na mpaka muft alisema mwenyewe kuwa magufuli ndiyo aliomba ujengwe inamaana huyu jamaa na mufti nani muongo?View attachment 2945052
Wakuu,
Mwenzenu naona aibu sana. Jinsi Magufuli alivyokuwa akijitapa mara atembelee Msikiti huku kavaa Kanzu, Mara amtume Makonda, mara aipige biti. Nimeona aibu sana kwa jinsi alivyokuwa akijitapa.
Kuna siku alisema eti, Mfalme wa 6 wa Morocco alipokuakuja nikamuomba Msikiti. "Akashangaa ananiangalia machoni", nikamuuliza nini? Akasema nimeshangaa Mkristo unaomba Msikiti.
Sasa BAKWATA Wamevunja ukimya na kuweka Kumbukumbu sawa.
Wamesema aloomba Msikiti ni Jakaya Kikwete. Magufuli alikuwa anafanya siasa tu.
View attachment 2945053
Sasa kwanini Hayati Magufuli atafute kiki kwa Msikiti badala ya Makanisa?
Mimi niliikuwa nashangaa. Mafuli awe na moyo wa kuomba Msikiti halafu Watu kila siku watekwee na kupotea?
Asante sana BAKWATA. Sasa nimeanza kuwqamini.
TAKBIR.
Kikwete ndie Rais pekee katika historia ya nchi hii.alietuachia DARAJA la malipo.View attachment 2945052
Wakuu,
Mwenzenu naona aibu sana. Jinsi Magufuli alivyokuwa akijitapa mara atembelee Msikiti huku kavaa Kanzu, Mara amtume Makonda, mara aipige biti. Nimeona aibu sana kwa jinsi alivyokuwa akijitapa.
Kuna siku alisema eti, Mfalme wa 6 wa Morocco alipokuakuja nikamuomba Msikiti. "Akashangaa ananiangalia machoni", nikamuuliza nini? Akasema nimeshangaa Mkristo unaomba Msikiti.
Sasa BAKWATA Wamevunja ukimya na kuweka Kumbukumbu sawa.
Wamesema aloomba Msikiti ni Jakaya Kikwete. Magufuli alikuwa anafanya siasa tu.
View attachment 2945053
Sasa kwanini Hayati Magufuli atafute kiki kwa Msikiti badala ya Makanisa?
Mimi niliikuwa nashangaa. Mafuli awe na moyo wa kuomba Msikiti halafu Watu kila siku watekwee na kupotea?
Asante sana BAKWATA. Sasa nimeanza kuwqamini.
TAKBIR.
Qur'an Sura 109:6Nafikiri kama Taifa tuna tatizo zito linalofukuta na kuna watu wanachochea. Shekhe kusimama msikitini kuongea haya leo nini anatafuta?
Anyway, muda ni mwalimu mzuri.
Vyombo vyote vya Dola haviruhusiwi kujihusisha na siasa. Na hii ni kikatiba.Jeshi gani lililotengwa na Siasa?