Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Tatizo la wao
Tatizo kubwa la waislam Tanzania hawana uongozi imara wanaotaka maendeleo ya waislam. Waislam wakipata Taasisi inayotaka maendeleo ya waislam, waislam watakuwa na vyuo vikuu zaidi ya l00 Tanzania. Mahospital ya kumwaga. Waislam wengi wameekeza ktk mipira jambo Sui zuri.
Wakiristo watakua nyuma ya waislam. Tatizo uongozi tu
Nb
Waislam kujengewa msikiti sio tatizo kabisa. Huyo jamaa katoa sadakat ljaria
ukiashaanza kuwagawa watanzania kwa njia ya dini ni upumbavu mkubwa sana. kwahiyo huo utajari wa waislamu hapa tanzania umetokana na kufanya biashara na waislamu tuu
 
Hao waislamu wengi hawana asili ya kibantu wala nilo hamits. . Hawana muda na maendeleo ya waislamu wabantu na wanilotis.
Kwamba wakijenga msikiti ndio itakua maendeleo ya Waislamu Wabantu

Unaielewa nadharia ya sadaqa katika uislamu au ndo unaongozwa na mihemko?
 
Wao ni soka na kubet tu,,wale wa jamii ya asia wanapenda kunyenyekewa na hawa wabantu, sasa wawainue wawe jeuri
 
Ingependeza sana ungesema Waislam wenye asili ya Asia ndo matajiri lakini sio hawa wabantu!
Sahihi waislamu wabantu wengi wauza vitumbua,chapati,mama nitile,wauza mboga,mihogo na matunda na samaki magengeni au sokoni au barabarani na wengi vibarua kwenye kampuni za waasia waislamu wenye viwanda na biashara nchini hawana vipato vikubwa
 
Wako kwenye mfungo embu jizuieni kuvuruga ibada za watu kwamaneno mabaya especially now!!
Ukweli wanapaswa wawekeze kwenye miskiti na huduma za jamii mf. Hospitali,shule nk.
 
Ukitaja mabilionea 10 wa Ukweli nchini Tanzania unaweza kukuta wote ni Waislam

Swali

Ilikuwaje Msikiti wao Mkuu pale Kinondoni kimbweru ujengwe kwa Msaada?

Isingewezekana kuujenga wao wenyewe?

Ramadan Kareem

cc: Malaria 2 Pohamba FaizaFoxy
Unachotakiwa kuelewa ni kwamba kwanza ule ni msikiti wa BAKWATA na sio msikiti wa waislamu.
Pili ni kwamba msaada umetolewa na mwislamu mwenzao MFALME MUHAMMAD VI anayeishi nchini Morocco Wala hawakusaidiwa na mkristo papa Francis anayeishi Vatikan.
Kwa hiyo msikiti umejengwa kwa ushirikiano wa BAKWATA na waislamu wa Morocco hapo tatizo liko wapi.?!.
Je kama wangekuwa wameomba msaada wa kijengewa msikiti na papa Francis wa huko Vatikan si ungeandamana?!
 
Sahihi waislamu wabantu wengi wauza vitumbua,chapati,mama nitile,wauza mboga,mihogo na matunda na samaki magengeni au sokoni au barabarani na wengi vibarua kwenye kampuni za waasia waislamu wenye viwanda na biashara nchini hawana vipato vikubwa
Wakiristo wengi wa vijijini wauza gongo na matap tap?
 
Huyo shehe hakuna kitu,,,katumwa kuja kuvunja legacy za Magufuli,

Haiwezekani inchi hii kila kitu alichofanya Magufuli wanaibuka watu kuja kupinga Legacy ,,
wakati mambo yote yamefanyika kwa uwazi..


Wewe shehe na genge lako LAANA TU ALAH..
 
Kaulize Bakhresa mchele wote ananunua wapi mchele mzuri mnaofuturu sasa hivi hununua kwa Wakristo ndio wakulima wakubwa wa mchele mzuri
Kitaifa
Ulevi wakithiri Moshi, vijana wadaiwa kushindwa kuoa
 
Kitaifa
Ulevi wakithiri Moshi, vijana wadaiwa kushindwa kuoa
Baadhi sio wote.Moshi kuna vijana wadogo kibao wamesoma hasa ndani na nje ya nchi sekta rasmi na isiyo rasmi ,ndani ya vyama vya siasa na wako hata Moshi hapo kibao

Wapewe nafasi wazee vikongwe wakae pembeni wapishe vijana
 
Shujaa anazidi kupaishwa juu na legacy yake !
Ni bora wangemuacha tu. !
Eti ilikuwa ni jitihada za JK ! Duh 🙄 !

Hakika, ila pointi ipo hapa chini👇
Kwani sisi ni wageni kwenye Nchi hii ???!!
Hawa ma propagandist huwa wanajisahau katika jumbe zao-Mfano hawa wanaotaka kutuaminisha kwamba Hayat Rais Magufuli alikuwa akiwatukana Watanzania kwa kuwaita "Wanyonge" Eti kwa sababu alisema yeye ni 'Raisi wa Wanyonge'

Hapo ndio tunarudi kwenye point yako, tunajiuliza hivi 'sisi ni wageni wa Lugha yetu wenyewe?' "Kwani sisi ni wageni wa nchii" hii, kwamba hatukuelewa muktadha wa neno "Wanyonge"? ama?

Sambamba, Inashangaza sana.
....pamoja na haya yaliyobandikwa, kushangaza kama ilivyo, hayo aliyotamka "mwenye dini yake". Ndio tunarudi tena kwa yale aliyohoji Jenerali Ulimwengu-"Kwani tuligeuzwa mazuzu"?

Nonetheless, Magulification will go on, in Tanzania, Africa and Beyond.
 
Ningewaona wa maana wangetoa kauli hii wakati JPM yu hai ili aweze jitetea.
 
Back
Top Bottom