PostGE2025 Sheikh Jongo: Waliowashawishi kuandamana wamegeuza kibao baada ya tathmini yao

PostGE2025 Sheikh Jongo: Waliowashawishi kuandamana wamegeuza kibao baada ya tathmini yao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Nimemsikiliza huyu Sheikh Jongo amesema wale walifanya ghasia wale wote wameshaushiwa kufanya hivyo na kuvunja miundombinu ya mwendokasi, wamepiga moto vituo vya mafuta visivyopungua 31 vinavyomilikiwa na mtu mmoja ambapo ni pigo

 
Nimemsikiliza huyu shekh amesema wale walifanya ghasia wale wote wameshaushiwa kufanya hivyo na kuvunja miundombinu ya mwendokasi, wamepiga moto vituo vya mafuta visivyopungua 31 vinavyomilikiwa na mtu mmoja ambapo ni pigo

Hao mashekh wanalipwa na genge la raia feki kwa lengo la kulihujumu taifa ushahidi huu hapa kwenye hii video .....genge la raia feki linaongozwa na waislamu wenye asili ya kiarabu agenda yao kuu ni kuigeuza tanganyika kuwa state capture yao ....ndiyo wanao wafadhiri mataperi ya makanisa kama MWAMPOSA ....NA MASHEKH WANAO UNGA MKONO UOVU WA SAMIA USIKU NA MCHANA


View: https://www.instagram.com/p/DQ-9CDPDP7n/?igsh=eWdscndqMW5reGVm
 
Nimemsikiliza huyu shekh amesema wale walifanya ghasia wale wote wameshaushiwa kufanya hivyo na kuvunja miundombinu ya mwendokasi, wamepiga moto vituo vya mafuta visivyopungua 31 vinavyomilikiwa na mtu mmoja ambapo ni pigo

FB_IMG_1763144290307.jpg
 
Mashehe majini ubwabwa wengi wamejitoa fahamu zote hawafanyi kazi kwa mujibu koran kitabu kitakatifu bali hufanya kazi kwa mujibu wa maelekezo ya mashetani wa ccm
 
Back
Top Bottom