Sheikh Kaluta Amri Abeid ni nani katika historia ya taifa hili?

Enzi za chama kushika hatamu hakuna aliyehoji pesa za serikali kujengea uwanja wa chama
 
wenzio wanaita Amri Abed ww unakuja na Abed amani hizi shule zenu za kata zinashida kweli.mnsomea ujinga tu.
 
tafuta kitabu kiitwacho ALMASI YA AFRIKA,ameandika mtoto wake.
utapata historia nzima ya Kaluta Abeid.

Naweza kukipata duka lipi la vitabu kwa Arusha au Dar?
 
Nakupongeza kwa bidii uliyoonyesha ya kujifunza kwa kipindi kifupi sana.
 
Shule nzuri hii kumbe alikua mtu mkubwa, kwenye hicho kifo chake kama nikweli kilitokea ktk mazingira hayo, sina shaka Nyerere alihusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…