GE2025 Sheikh Kaniki: Dini na Siasa havitengani. CHADEMA inapitia magumu kwasababu ya kusimamia wanachokita Wananchi

GE2025 Sheikh Kaniki: Dini na Siasa havitengani. CHADEMA inapitia magumu kwasababu ya kusimamia wanachokita Wananchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Sheikh Ibrahim Kaniki amesema hakuna utengano kati ya dini na siasa, akisisitiza kuwa masuala ya kisiasa huathiri moja kwa moja maisha ya waumini wa dini, hivyo ni muhimu viongozi wa dini kushiriki katika kuombea amani, haki na viongozi wanaokumbwa na changamoto.

Akizungumza siku ya Jumamosi Julai 26, 2025 baada ya kuongoza dua maalum kwa ajili ya kumuombea heri na ulinzi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, aliyeko rumande kwa tuhuma za uhaini na uchochezi, Sheikh Kaniki amesema:

“Ukisema siasa haihusiani na dini unakosea sana… ni sawa na kusema kwa sababu mimi ni mtu wa dini sitanunua, sitauza, sitakwenda hospitali, nitakuwepo tu – hiyo itakuwa balaa”.

 
Sheikh anajisumbua tu, hao chadema hawampendi hata kidogo. Angeongea padre hapo Sasa hv kungekuwa na likes zao kama ELFU hivi na sifa kibao za usomi.
 
Sheikh anajisumbua tu, hao chadema hawampendi hata kidogo. Angeongea padre hapo Sasa hv kungekuwa na likes zao kama ELFU hivi na sifa kibao za usomi.
Kwa maneno yaliyotoka kwenye ulimi wa nyoka wa ccm
 
Back
Top Bottom