Sheikh Karume angeshauvunja Muungano

Kitu Chochote Kikiwepo Bila Sababu Ya Msingi, Kutoweka Hakihitaji Sababu Ya Msingi, Simple Logic,,,, Kila Lenye Mwanzo Lina Mwisho, Lakini Sio Shortcut,
 
Zooote porojo, ukweli ni huu:

Mnaambiwa Zanzibar ni koloni mnabisha. Mkoloni wa mweusi akikuona una potential ataweka vizingiti vyote ili akuzuie usiendelee na usifanikiwe. Mzungu anaweka mazingira ili kutumia rasilimali zako kujinufaisha ili na wewe ukiwa mjanja unufaike.
 
Umezisikiliza lakini sababu za Lukuvi?
 
Kilio chao kikubwa ni muundo wa muungano wanataka nchi mbili zenye mamlaka sawa maana kwa sasa Serikali ya Tanganyika ndio Serikali kuu ya Muungano jambo ambalo hawalitaki.
Hata sisi tunaitaka Tanganyika yetu, lakini hatujawahi kusema Muungano hauna faida yoyote ile. Ni mabaradhuli tu ndiyo wataamini kwamba huu Muungano hauna faida yoyote ile.

Hata Marehemu Mchungaji Mtikila katika uhafidhina wake wa kupinga Muungano hakuwahi kusema kwamba Muungano haukuwa na faida zozote.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili tatizo la Udini nadhani ni lako binafsi (Jambo lisilo na mashiko ila linakuzwa makusudi kwa sababu maalamu isiyofahamika) .
kama halina mashiko kwanini hakuchukuliwa hatua!!! hata kuhojiwa? kama yote hayo hayakufahamika lazima watu wajue kuwa hiyo sababu kubwa.
 
Alichokipanga Mwl. Nyerere kukipangua ni mpaka sijui uwe na akili ya namna gani! Angalia suala la azimio la Arusha mpaka leo tunatamani lirudishwe. MPAKA KESHO IMANI YANGU NYERERE NI NABII.
Ile hotuba ya 1995 pale kilimanjaro hotel kila ninapoisikiliza ni kama vile ni jana tu aliongea maneno yale. Very prophetic soul.
 
Hivi visiwa vina thamani kubwa sana kuliko madini ya Tanganyika. Akipewa mmarekani ndani ya miaka mitano kutakuwa kama Dubai. Wadangnyika tutakuwa tunazamia kwenda kuomba ajira za kuwafulia nguo na kudeki nyumba za wazanzibari.
Hii ndio sifa za binadamu, kuruhusiwa kuota ndoto hata kama ni mchana wa jua kali.
 
Inaonekana baba wa taifa alitumiwa na moja ya hizo kambi mbili au alitumia fursa kumwingiza mkenge mzee Karume. Inawezekana nae aliaminishwa kwamba asipochangamka kiusalama Zanzibar huru itakuja kuwa tishio kwa Tanganyika.
 
Uko sawa mkuu. Ni kweli kabisaa Wazanzibar kwasasa mamb yao yote wanategemea huruma ya Tanganyika. kutawaliwa nkubaya
 
Hivi visiwa vina thamani kubwa sana kuliko madini ya Tanganyika. Akipewa mmarekani ndani ya miaka mitano kutakuwa kama Dubai. Wadangnyika tutakuwa tunazamia kwenda kuomba ajira za kuwafulia nguo na kudeki nyumba za wazanzibari.

Duh!
 
Sababu tumepewa bure kama tulivyopewa Tanzania. Kuna mambo mengine ukiyagusa hata kama ni nani, huwezi kubaki salama.
Pengine tunachokosa Leo ni kwanini muungano? Elimu haipo kabisa. Ila muungano hautavunjika kirahisi kama tunavyodhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…