Sheikh Karume angeshauvunja Muungano

Sheikh Karume angeshauvunja Muungano

Kitu Chochote Kikiwepo Bila Sababu Ya Msingi, Kutoweka Hakihitaji Sababu Ya Msingi, Simple Logic,,,, Kila Lenye Mwanzo Lina Mwisho, Lakini Sio Shortcut,
 
Zooote porojo, ukweli ni huu:

Mnaambiwa Zanzibar ni koloni mnabisha. Mkoloni wa mweusi akikuona una potential ataweka vizingiti vyote ili akuzuie usiendelee na usifanikiwe. Mzungu anaweka mazingira ili kutumia rasilimali zako kujinufaisha ili na wewe ukiwa mjanja unufaike.
 
Umezisikiliza lakini sababu za Lukuvi?
 
Kilio chao kikubwa ni muundo wa muungano wanataka nchi mbili zenye mamlaka sawa maana kwa sasa Serikali ya Tanganyika ndio Serikali kuu ya Muungano jambo ambalo hawalitaki.
Hata sisi tunaitaka Tanganyika yetu, lakini hatujawahi kusema Muungano hauna faida yoyote ile. Ni mabaradhuli tu ndiyo wataamini kwamba huu Muungano hauna faida yoyote ile.

Hata Marehemu Mchungaji Mtikila katika uhafidhina wake wa kupinga Muungano hakuwahi kusema kwamba Muungano haukuwa na faida zozote.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili tatizo la Udini nadhani ni lako binafsi (Jambo lisilo na mashiko ila linakuzwa makusudi kwa sababu maalamu isiyofahamika) .
kama halina mashiko kwanini hakuchukuliwa hatua!!! hata kuhojiwa? kama yote hayo hayakufahamika lazima watu wajue kuwa hiyo sababu kubwa.
 
Nilipata Bahati ya kupiga story mbili Tatu na Mzee Salim Rashid katibu wa kwanza wa baraza mapinduzi khs muungano ni aibu Juu ya dhuruma hii kifupi hkn muungano...
FB_IMG_1548404899372.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alichokipanga Mwl. Nyerere kukipangua ni mpaka sijui uwe na akili ya namna gani! Angalia suala la azimio la Arusha mpaka leo tunatamani lirudishwe. MPAKA KESHO IMANI YANGU NYERERE NI NABII.
Ile hotuba ya 1995 pale kilimanjaro hotel kila ninapoisikiliza ni kama vile ni jana tu aliongea maneno yale. Very prophetic soul.
 
Hivi visiwa vina thamani kubwa sana kuliko madini ya Tanganyika. Akipewa mmarekani ndani ya miaka mitano kutakuwa kama Dubai. Wadangnyika tutakuwa tunazamia kwenda kuomba ajira za kuwafulia nguo na kudeki nyumba za wazanzibari.
Hii ndio sifa za binadamu, kuruhusiwa kuota ndoto hata kama ni mchana wa jua kali.
 
Inaonekana baba wa taifa alitumiwa na moja ya hizo kambi mbili au alitumia fursa kumwingiza mkenge mzee Karume. Inawezekana nae aliaminishwa kwamba asipochangamka kiusalama Zanzibar huru itakuja kuwa tishio kwa Tanganyika.
 
.

Ni bora kutawaliwa na tajiri(US) kuliko kutawaliwa na maskini(Tanganyika). Maskini akikutawala wewe jua atakufanya uwe maskini kuliko yeye alivyo. Hata akikuona unapata akili kumzidi ni lazima atakuangamiza na kukukwamisha. Chochote utakachoofanya cha kukuwezesha kuendelea atakupora kwa lazima, upende usipende.
Uko sawa mkuu. Ni kweli kabisaa Wazanzibar kwasasa mamb yao yote wanategemea huruma ya Tanganyika. kutawaliwa nkubaya
 
Hivi visiwa vina thamani kubwa sana kuliko madini ya Tanganyika. Akipewa mmarekani ndani ya miaka mitano kutakuwa kama Dubai. Wadangnyika tutakuwa tunazamia kwenda kuomba ajira za kuwafulia nguo na kudeki nyumba za wazanzibari.

Duh!
 
Lakini kama muungano ni kitu kikubwa na muhimu, kwanini Serikali ya Jamhuri ya Muungano imekuwa ikifanya kila jitihada kuuzima huu mjadala wa Muungano ? Aidha kwa kupotosha, kuficha ukweli au kulazimisha watu wasihoji sana. Kama muungano ni kitu chema kwanini tuogope kusema ukweli ?

Upande wa pili sasa, Wanzanzibari ni watu wenye ndimi mbili kama za nyoka. Kitu cha kwanza kabisa, ambacho hata wao katika hekima yao yote ya kuuchukia huu muungano huwa hawakisemi na wanaogopa kukizungumza ni kwamba ile nchi ina mpasuko mkubwa sana. Kama isingekuwa na mpasuko sidhani kama hata yale mapinduzi yangetokea sehemu ya kwanza. Wapinga muungano wengi ndiyo walikuwa vinara katika kumng'oa Sultan wa kiarabu.

Pili, kusema Muungano hauna faida huo ni upumbavu wa hali ya juu sana, kwasababu hata ukoloni wenyewe ambao ulikuwa ni mbaya sana na naulaani mpaka leo hii uliacha baadhi ya faida (Indirect) kwenye baadhi ya makoloni. Sasa hawa ndugu zangu wazanzibari wanaposema kwamba muungano hauna faida huwa siwaelewagi kabisa na kusema kwamba Tanganyika inawatawala huwaga siwaelewagi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu tumepewa bure kama tulivyopewa Tanzania. Kuna mambo mengine ukiyagusa hata kama ni nani, huwezi kubaki salama.
Pengine tunachokosa Leo ni kwanini muungano? Elimu haipo kabisa. Ila muungano hautavunjika kirahisi kama tunavyodhani
 
Back
Top Bottom