Sheikh Kipozeo atambulishwa rasmi WCB

Sheikh Kipozeo atambulishwa rasmi WCB

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Sheikh maarufu hapa nchini Hilali Shaweji Makarani maarufu kama Sheikh Kipozeo hatimaye ametambulishwa rasmi Wasafi TV kuwa ndiye atakayeongozwa mafundisho yanayohusu mwezi huu mtukufu wa ramadhani .

Sheikh huyu amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kuwasilisha mada bila kuchosha watu wanaomsikiliza .

[HASHTAG]#Hakika[/HASHTAG] wasafi tv ni ya kwetu sote#

IMG_20180520_214515_786.jpg
IMG_20180520_215756_883.jpg
 
Back
Top Bottom