Sheikh Kipozeo atambulishwa rasmi WCB

Sheikh Kipozeo atambulishwa rasmi WCB

Sijui kwann wanamuita sheik kipozeo ,ila yuko vizuri ni mkweli.
Alishasema sababu ya kuitwa "kipozeo" ni zile mada zake au mawaidha yake ambayo watu wakisikiliza nafsi zao zinapoozeka! Hence the name "kipozeo"
 
Huyu shekh kipoozeo anajua kufikisha ujumbe vizuri bila kumhofisha mtu
 
Back
Top Bottom