Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Anatoa maneno yanayopoza mioyo ya watu ndio maana wanamuita kipozeoSijui kwann wanamuita sheik kipozeo ,ila yuko vizuri ni mkweli.
Ha ha ha haSheikh Hilal Shaweji
Bahari isiyo Na Pwani
Asante kwakunijulisha mkuu, binafsi nikimuona kwenye clips zake lazima ufurahi hats kama ulinuna.Anatoa maneno yanayopoza mioyo ya watu ndio maana wanamuita kipozeo
pastor atoe mawaidha ya mwezi wa ramadhani??Hii nzuri. Hapa kubalance mambo wangemtafuta na PASTOR KURIA (pastor Kush) wa CHURCHILL SHOW ya Kenya.
Man Kush.....Hii nzuri. Hapa kubalance mambo wangemtafuta na PASTOR KURIA (pastor Kush) wa CHURCHILL SHOW ya Kenya.
Hapana...wawe permanent hata baada ya mfungo...kiwe kipindi rasmi. Mmoja awe anatoa mawaidha Ijumaa labda na mwingine Jumapili.pastor atoe mawaidha ya mwezi wa ramadhani??
Hii nzuri. Hapa kubalance mambo wangemtafuta na PASTOR KURIA (pastor Kush) wa CHURCHILL SHOW ya Kenya.
Hapana...wawe permanent hata baada ya mfungo...kiwe kipindi rasmi. Mmoja awe anatoa mawaidha Ijumaa labda na mwingine Jumapili.Kwenye mfungo wa kwaresma au?