Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,267 May 21, 2018 #41 Tusubiri yatayojiri baada ya utambulisho huo
Bukwabi JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 3,352 Reaction score 1,148 May 21, 2018 #42 Mzee wa neema za Allah
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,497 Reaction score 16,180 May 21, 2018 #43 Chinsali said: Sijui kwann wanamuita sheik kipozeo ,ila yuko vizuri ni mkweli. Click to expand... Alishasema sababu ya kuitwa "kipozeo" ni zile mada zake au mawaidha yake ambayo watu wakisikiliza nafsi zao zinapoozeka! Hence the name "kipozeo"
Chinsali said: Sijui kwann wanamuita sheik kipozeo ,ila yuko vizuri ni mkweli. Click to expand... Alishasema sababu ya kuitwa "kipozeo" ni zile mada zake au mawaidha yake ambayo watu wakisikiliza nafsi zao zinapoozeka! Hence the name "kipozeo"
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,340 Reaction score 12,055 May 21, 2018 #44 Anasema "kufia kwenye mzigo wa mtu ndo balaa kubwa sheikh"
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,328 Reaction score 23,909 May 21, 2018 #45 Shark said: Sio Nabii Tito? Click to expand... Hahah Nabii Tito wampe usiku baada ya watoto kulala.
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 4,893 Reaction score 6,599 May 21, 2018 #46 Huyu shekh kipoozeo anajua kufikisha ujumbe vizuri bila kumhofisha mtu
Hum B JF-Expert Member Joined Sep 17, 2014 Posts 1,045 Reaction score 1,468 May 22, 2018 #47 Mzee wa neema za allah