Sheikh kipozeo (mzee wa Neema za Allah) kumchana diamondplatnumz live

Sheikh kipozeo (mzee wa Neema za Allah) kumchana diamondplatnumz live

Sheikh aonesha kutoridhishwa na mwenendo/style anaokwenda nao mwanamziki nguli nchini diamondplatnumz....asema life style yake kwa sasa haiendani kabisa na miongozo ya imani/dini yake ya kiislamu,ni bora ajitangaze tu kuwa yupo upande wa pili.

Ameeleza hayo kwa kurejea ngoma ya mwanamziki huyo inayobamba kwa sasa ya HALELLUJAH...ambapo pia ameelezea tabia yake ya kuvaa misalaba kama wanavyofanya ndugu zetu wa damu wakristu.

Naomba Allah amuongoe diamond kama alivyomuongoa Mzee Yussuf! Amin. Angalia video hapa chini:

Ni lini Uislamu uliruhusu muziki?
 
Hujajibu swali Mkuu.

Huyo anayeongelewa na pande zote mbili, huku Jesus na kule Isa ni Mtu mmoja? kama ni mmoja, alikuwa Mwarabu au Mzungu?
Issa na Jesus ni watu wawili tofauti, Jesus alizaliwa, akateswa, akafa siku ya tatu akafufuka katika wafu, akapaa mbinguni.

Sasa tafuta sifa za Issa ndio utathibitisha hawa ni watu wawili tofauti kama Thomson na Thompson.
 
Hiyo ni perception ya sisi binadamu kama ambavyo watu uwa wanadhani ile picha ni sura ya yesu na ni yesu mwenyewe.
Movie imewaathiri.
Lakini hata maandiki yako wazi kabisa Yesu na mama yake walitokea Masharki ya kati.
huyo jesus ni jewish pambaneni na hali zenu acheni kijana aishi maisha yake
 
ndo huyo huyo, waislam wanamuita Nabii Issa wakristo wanamuita Jesus

Hawawezi kuwa sawa, ila kuna ufanano wa watu wa kiasi fulani kwa watu hao wawili tofauti, japokuwa tofauti yao ni kubwa sana
 
In short, Yesu alikuwa mwizi wa mbao. Wauza mbao walikuwa wanaibiwa sana, kumbe yule jamaa alikuwa anawalia timing alfajiri wakati usingizi ni mtamu. Walivyoamua kukesha kama Sungusungu mpaka wampate mwizi wao, ndio yule jamaa akaingia mtegoni. Wakamlamba siku moja alfajiri, wakambebesha mbao zake kumpeleka kwa Pirato. Sasa vibaka wenzie wakina Yuda, ndio wakachomekea story za kubebeshwa msalaba kumbe zilikuwa mbao za wizi, na watu kwa umbumbu wao wanaamini mpaka leo. Na huyo Kipozeo hana lolote, jitu jeusi kama mkaa lakini kujitia uarabu. Mbona hatujawahi kumuona mwarabu anacheza Gombe Sugu, huu si ulofa huu?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] dah mkuu story umeipangilia sana....ungeendelea kidogo basi
 
Kipozeo hana moral authority ya kumkemea Diamond
Kipozeo ni mtaalamu wa kulawiti wanawake na anatafuna sana mirungi
Shekhe gani huyu anaangalia video za miziki ya bongofleva
 
Ameuona Msalaba na Alelujah tu basi, hajaona muziki ulivyojaa uchafu mwingi? Acha maisha ya watu yasonge kila mtu atapambana na hali yake siku ya hukumu.
Kweli kabisa watu wengi ni wepesi wa kuhukumu kama vile wapo safi! kila mtu ni mdhambi siku ya mwisho atapambana mwenyewe. Ndo maana vijana wengi awaendi makanisan au msikitikini kwa ajili ya kuogopa kuhukumiwa na hao Mungu watu.
 
In short, Yesu alikuwa mwizi wa mbao. Wauza mbao walikuwa wanaibiwa sana, kumbe yule jamaa alikuwa anawalia timing alfajiri wakati usingizi ni mtamu. Walivyoamua kukesha kama Sungusungu mpaka wampate mwizi wao, ndio yule jamaa akaingia mtegoni. Wakamlamba siku moja alfajiri, wakambebesha mbao zake kumpeleka kwa Pirato. Sasa vibaka wenzie wakina Yuda, ndio wakachomekea story za kubebeshwa msalaba kumbe zilikuwa mbao za wizi, na watu kwa umbumbu wao wanaamini mpaka leo. Na huyo Kipozeo hana lolote, jitu jeusi kama mkaa lakini kujitia uarabu. Mbona hatujawahi kumuona mwarabu anacheza Gombe Sugu, huu si ulofa huu?
Mkuu umetema pumba sana aise...ila kwa hiyo username yako hupaswi kulaumiwa.
 
Ye mbona huwa anasifia ma wowowo hebu amuache
Kwani mtu kueleza anachokipenda ni dhambi? maongezi yake ya kusema anapenda waliojaaliwa hayakutoka nje ya mafundisho na ndo maana alithubutu kutamka hadharani.

Kwa hiyo,huwezi kujustify anachokifanya diamond kwa kurejea mapenzi ya sheikh juu ya wowowo!
 
Hivi waislam wanaruhusiwa kunywa pombe? ? Mbona ilo hakemei kuhusu unywaji wa pombe? Yeye ameona ilo tu la kuvaa misalaba? ?
Mbona keshaliongelea sana hilo la pombe,tafuta youtube mawaidha yake utaikuta hiyo topic!

Hakuna dhambi ambayo masheikh hawajaielezea au hawaizungumzii.
 
Issa na Jesus ni watu wawili tofauti, Jesus alizaliwa, akateswa, akafa siku ya tatu akafufuka katika wafu, akapaa mbinguni.

Sasa tafuta sifa za Issa ndio utathibitisha hawa ni watu wawili tofauti kama Thomson na Thompson.
Ni mtu mmoja kwa mapokeo tofauti tofauti...ulitakiwa umshauri asome maandiko ya pande zote mbili ni jinsi gani yanamuelezea na kumchambua Yesu...kisha aje na conclusion kwamba upande upi upo sahihi au at least mafundisho yake yamenyooka katika kumuelezea huyo Issa,kuanzia uzao wake,status yake duniani,issue ya kusulubiwa,kufa na kufufuka kwake etc.
 
Lakini mbona Jesus kwa kiarabu ni "Yasu" na sio "Isa"
Kuna tofauti kati ya kiarabu cha kawaida (ordinary arabic language) na kiarabu cha quran (quranic arabic language)....Yasu ni kiarabu cha kawaida tena kutegemeana na jamii husika ya kiarabu lakini Issa ni jina lililotajwa kwenye quran.
 
Back
Top Bottom