Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
MAONI YA SHEIK KIPOZEO
Naona watanzania, Taifa taratibu taratibu linaanza kujivua ile heshima lililoivaa siku zote.
Tumejitia upofu wa kuikimbia hoja na UKWELI, tukajikita katika kudadavua nani kaleta hoja hiyo.
Niko kwenye Magroup & vikundi vya kijamii kadhaa vyenye Waislamu & Wakristo na wale wazee wa Dini za asili, na kote huko wote wanasema wanaungana na Waraka wa Maaskofu, tena Waislamu ndo wanarukaruka kwa furaha kabisaa wakisema TEC sio mnafiki, TEC imesimama na Maslahi ya nchi!
Wanasema Waraka wa Maaskofu ndo tumaini pekee maana umebeba 'jambo letu wote'. Sisi watanzania tukubali tu sindano iingie, tuupokee ukweli na kama kujibu waraka tuujibu kwa hoja na sio kuanza ku-panic kwamba kasema nani, waraka kaandika nani!
Kwa taarifa yenu hata ingetokea TEC ikakalishwa 'meza maalum' na ikafanya 'handshake' na Serikali na ikafuta tamko, sisi watanzania hatutorudi nyuma, tutaendelea kuukataa Mkataba hivyo tutakomaa na maslahi ya nchi mpaka kieleweke.
Mkataba ni haufai, haufai, regardless kasema nani