Sheikh Kipozeo: Tujikite katika hoja sio kuanza kumtafuta mtoa hoja

Nishamjibu kwa hoja na picha
20230821_133249.jpg
 
Mtihani sheikh
Mtihani kweli kweli shekhe. wakili Mwabukusi anasema tusiogope tuseme., limkataba ni takataka ni la UJASIRI wa KIFISADI. Limetengenezwa humu humu ndani na team mama Abdul. Wanaotetea UFISADI wanataka tukomae na UDINI ili wajimilikishe raslimali za Tanganyika. Nakihurumia sana kizazi kijacho cha Tanganyika. #OkoaBandariZetu
 
Sheikh Hilary kipozeo amawaasa wale wote wanaounga mkono na kupinga mkataba wa Bandari wapambane kwa hoja kwa hoja sio kupinga au kukubali bila kuweka hoja zenye mashiko mezani. Amekemea wale wote wanaoingiza mambo ya Udini kwenye swala hili badala ya kujibu hoja zilizopo mezani.View attachment 2725903
Kuna mashekhe wengi wamekumbwa na bahassha, wameongea unafiki mkubwa, sikujali. Lakini Hustahadhi Mazinge nimeumia sana. kama muslimu niliehuzuria mikutano ya HADHARA toka miaka ya 90’ tukislimisha watu. Moyo wangu umenjika 😭😭
#OkoaBandariZetu
 
Sheikh Hilary kipozeo amawaasa wale wote wanaounga mkono na kupinga mkataba wa Bandari wapambane kwa hoja kwa hoja sio kupinga au kukubali bila kuweka hoja zenye mashiko mezani. Amekemea wale wote wanaoingiza mambo ya Udini kwenye swala hili badala ya kujibu hoja zilizopo mezani.View attachment 2725903
Mzee mwenyewe wa mizigo [emoji23]
 
Sheikh Hilary kipozeo amawaasa wale wote wanaounga mkono na kupinga mkataba wa Bandari wapambane kwa hoja kwa hoja sio kupinga au kukubali bila kuweka hoja zenye mashiko mezani. Amekemea wale wote wanaoingiza mambo ya Udini kwenye swala hili badala ya kujibu hoja zilizopo mezani.View attachment 2725903
Nani alisema.kuwa Islam hawana akili?
Tujadili hoja
 
MAONI YA SHEIK KIPOZEO

Naona watanzania, Taifa taratibu taratibu linaanza kujivua ile heshima lililoivaa siku zote.

Tumejitia upofu wa kuikimbia hoja na UKWELI, tukajikita katika kudadavua nani kaleta hoja hiyo.

Niko kwenye Magroup & vikundi vya kijamii kadhaa vyenye Waislamu & Wakristo na wale wazee wa Dini za asili, na kote huko wote wanasema wanaungana na Waraka wa Maaskofu, tena Waislamu ndo wanarukaruka kwa furaha kabisaa wakisema TEC sio mnafiki, TEC imesimama na Maslahi ya nchi!

Wanasema Waraka wa Maaskofu ndo tumaini pekee maana umebeba 'jambo letu wote'. Sisi watanzania tukubali tu sindano iingie, tuupokee ukweli na kama kujibu waraka tuujibu kwa hoja na sio kuanza ku-panic kwamba kasema nani, waraka kaandika nani!

Kwa taarifa yenu hata ingetokea TEC ikakalishwa 'meza maalum' na ikafanya 'handshake' na Serikali na ikafuta tamko, sisi watanzania hatutorudi nyuma, tutaendelea kuukataa Mkataba hivyo tutakomaa na maslahi ya nchi mpaka kieleweke.

Mkataba ni haufai, haufai, regardless kasema nani
Kwa taarifa yenu hata ingetokea TEC ikakalishwa 'meza maalum' na ikafanya 'handshake' na Serikali na ikafuta tamko, sisi watanzania hatutorudi nyuma, tutaendelea kuukataa Mkataba hivyo tutakomaa na maslahi ya nchi mpaka kieleweke[emoji419][emoji375]
 
Sheikh Hilary kipozeo amawaasa wale wote wanaounga mkono na kupinga mkataba wa Bandari wapambane kwa hoja kwa hoja sio kupinga au kukubali bila kuweka hoja zenye mashiko mezani. Amekemea wale wote wanaoingiza mambo ya Udini kwenye swala hili badala ya kujibu hoja zilizopo mezani.

View attachment 2725903
Sheikh Kipozeo atabakia kuwa mtu maarufu milele. Maana hajawahi kuwa mnafiki. Namkumbuka sana kwenye ule msemo wake wa kusifia wanawake waliobarikiwa neema za Allah.
 
MAONI YA SHEIK KIPOZEO

Naona watanzania, Taifa taratibu taratibu linaanza kujivua ile heshima lililoivaa siku zote.

Tumejitia upofu wa kuikimbia hoja na UKWELI, tukajikita katika kudadavua nani kaleta hoja hiyo.

Niko kwenye Magroup & vikundi vya kijamii kadhaa vyenye Waislamu & Wakristo na wale wazee wa Dini za asili, na kote huko wote wanasema wanaungana na Waraka wa Maaskofu, tena Waislamu ndo wanarukaruka kwa furaha kabisaa wakisema TEC sio mnafiki, TEC imesimama na Maslahi ya nchi!

Wanasema Waraka wa Maaskofu ndo tumaini pekee maana umebeba 'jambo letu wote'. Sisi watanzania tukubali tu sindano iingie, tuupokee ukweli na kama kujibu waraka tuujibu kwa hoja na sio kuanza ku-panic kwamba kasema nani, waraka kaandika nani!

Kwa taarifa yenu hata ingetokea TEC ikakalishwa 'meza maalum' na ikafanya 'handshake' na Serikali na ikafuta tamko, sisi watanzania hatutorudi nyuma, tutaendelea kuukataa Mkataba hivyo tutakomaa na maslahi ya nchi mpaka kieleweke.

Mkataba ni haufai, haufai, regardless kasema nani
Huyu Sheik lazima atafukuzwa na BAKWATA
 
Hoja za kwamba mkataba unafaa zisikilizwe.
Hoja za kwamba mkataba haufai zisikilizwe pia.
Mwisho hoja sahihi zifanyiwe kazi simple sana.
Unahitaji kuwa mwendawazimu kuamini huo mkataba ni mzuri ,mkataba ulipatikana kwa rushwa ,kama huwezi zingatia maslahi ya nchi kamwe
 
Back
Top Bottom